Mimi ninadiriki kusema kabisa:-
"SAFINA RADIO WAMEKUWA MATAPELI WAKUBWA"
Mbaya zaidi wanawatapeli hasa wamama masikini wafanyao biashara ndogondogo kabisa.
HAWANA HURUMA, huyu Mzee alikimbiwa na watangazaji wake wa mwanzoni kina Goodluck Sandy kwakuwa ni mbaili na anataka pesa zote azishike mwenyewe.
Hata zile za MPESA hazifiki sijui kwa mweka hazina au mhasibu...ni huyu Mzee tu anaziminya na Mke wake.
Kuhusu Pombe nasikia anakunywa Whisky ila watu wanamwogopa hawawezi kusema hilo.
SAFINA RADIO WANATIA AIBU KWA UTAPELI.
Biblia inasema. Usimtoleee bwana vilivyo vilema, vidhaifu. Hata Ibrahimu alipokuwa anapewa agano na MUNGU aliambiw achukue vile vilivyo nona..May be alijaribu kuwa kumbusha hapa.
Mkuu ume_attack organization yote badala ya mtu mmoja...ila kama ndio hivyo wajirekebishe, suala la sadaka ni la mtu binafsi kile alicho nacho ndio anatoa na sio kupangiwa
Hahaha...mwenye povu ni wewe mkuu coz mpaka unadiriki kusema sina hela ilihal hunijui wala hujui hali yangu ila umehisi tu [emoji23] [emoji23]Kiongozi msamehe bure, Kwanza mi ninavyo jua Huyo Baraka Matha sio mtangazaji wala sio mchungaji, huyu ni mwimbaji tu,, wala ethics za utangazaji hazijui,
Lakini pia siku nyingine andika uzi wako kwa upole, jazba ya nini ndugu yangu?
Ukiona ana hamasisha kutoa basi huenda anataka watu watoe kwa bidi, maana apandacho mtu ndicho avunacho
Lakini inaonyesha kwamba hauna hela, mtu mwenye hela hawezi kushtuka kwa kiasi hicho
Ila na huyo Baraka apunguze maneno ya namna hyo
Mwisho naomba km utakuwa unahitaji namba yake unijulishe nikupatie ili utafute siku mzungumze nae umwonye private.
Hiz ni siku za mwisho ukizuba tunakukamua hata ile uliyo tunza kwa ajili ya kununulia mshuma pindi tanesco wanapo zingua.
Acha kumtetea TAPELIBiblia inasema. Usimtoleee bwana vilivyo vilema, vidhaifu. Hata Ibrahimu alipokuwa anapewa agano na MUNGU aliambiw achukue vile vilivyo nona..May be alijaribu kuwa kumbusha hapa.
Soma vzuri manen yangu. Ndio maana nikasema may be. Ikimaanish sijafungan upande wala justify. Na nikasema sipo hapa kumkingia kifua yeyoteAcha kumtetea TAPELI
PAULO anasema kila mtu na atoe kwajinsi alivyojaliwa.
Kwahiyo kama mtu ameenda pale ili kusikia neno la Mungu na hana hata 100, asiingie ndani sio?
Nimekuuliza ni sahihi kusema kuwa chini ya 1000/= si halali?
Soma vzuri manen yangu. Ndio maana nikasema may be. Ikimaanish sijafungan upande wala justify. Na nikasema sipo hapa kumkingia kifua yeyote
Kama kuna ubadhilifu, MUNGU anajua njia zote .
Asomae na afahamMtu wa mshahara ndio huyo wa kuwapangia watu sadaka za kutoa?
Nmekusikia. Ila sikutaka kuhumu,Wala kuteteaMungu aliposema namna ya kuwatambua alitaka tuwatambue kwa matunda yao, sio tumwachie yeye hiyo kazi, yaliyofunuliwa kwetu lazima tuyatafsiri na kuyajadili.....
Nmekusikia. Ila sikutaka kuhumu,Wala kutetea
Hii huduma imewafungua watu wengi sana, hivyo usihukumu radio kama radio, mseme huyo mmoja aliyeongea hivyo.
Ahsanteee. MkubwaaaaNimekuelewa ndugu yangu.....
Sio kwamba namsema huyo mmoja tu...ukinisoma vizuri nimemsema hadi Mkurugenzi mwenyewe wa Safina radio, Dr. LEMA pamoja na huyo BarakaHii huduma imewafungua watu wengi sana, hivyo usihukumu radio kama radio, mseme huyo mmoja aliyeongea hivyo.
Hapo mkuu umenena ukweli! Ila wababaishaji wanataka kubishana! Tatizo la watanzania wengi ni unafiki! Mfumo wa watumishi wa kiroho umeingiliwa na roho mtakavitu ndio maana siku hizi wanaubiri sadaka sadaka sadaka tuuuuu!Suala sio kusemwa mara ngapi...hata CCM inasemwa mara nyingi ila cha msingi je kinachosemwa kina ukweli na uhalisia?
Kuhusu kuwa na chuki nao...sina chuki nao nina chuki na hii tabia yao chafu ya kupenda pesa tu.
Agiza soda unywe, wamekusikia.Hahaha...mwenye povu ni wewe mkuu coz mpaka unadiriki kusema sina hela ilihal hunijui wala hujui hali yangu ila umehisi tu [emoji23] [emoji23]
SAFINA RADIO WAACHE KUWATAPELI PESA WAMAMA MASIKINI WA ARUSHA.
Lazima ukweli tuuseme.