Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

Tatizo ni mfumo wa uongozi na sio hawa wateuliwa! Mkuu anaongoza kwa hisia na matakwe yake, ni ngumu sana kuendesha nchi kihivyo.
 

Upo vizuri Mkuu na umeandika kwa kufikiri zaidi.
 
Naona uongozi wake yeye kaamua uwe wa kuteua na kutengua.

Tuishachoka hiyo style aje na mpya
Huwezi amini mzee wangu ni ccm damu, ila jana kusikia uteuzi wa mkuu wa chuo NIT sijui na uteuzi gani tena.

Aliishia sema 'huyu bwana hana cha maana yeye no hayo hayo kila siku' nilicheka sana
 
Teuzi tumbua
Huwezi amini mzee wangu ni ccm damu, ila jana kusikia uteuzi wa mkuu wa chuo NIT sijui na uteuzi gani tena.

Aliishia sema 'huyu bwana hana cha maana yeye no hayo hayo kila siku' nilicheka sana
 
Unaelewa kwamba mtoto mdogo anarefuka kwa kasi kubwa sana kuliko mtu mzima?

Speed ya kukua uchumi si indication ya uzuri wa uchumi, inaweza kuwa indication kwamba uchumi wenu ulikuwa chini sana.

Hii ndiyo sababu developed economies characteristically zina low economic growth, huwezi kusikia uchumi kama wa Marekani umekua kwa 8%.

Walishapita stage ya kukua hivyo uchumi ulivyokuwa mdogo.

Zaidi, Mpango kalalamika matatizo ya uchumi, wabunge wamelalamika, wafanyabiashara wanafungasha virago. Etihad wameondoka, Exxon Mobil wameondoka, Dangote kawa frustrated, ajira zimeota mbawa, bei za mazao ya wakulima zinashuka, sekta ya madini imesinyaa.

Huo uchumi unaokua unakulia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…