pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Tatizo ni mfumo wa uongozi na sio hawa wateuliwa! Mkuu anaongoza kwa hisia na matakwe yake, ni ngumu sana kuendesha nchi kihivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite nunua mirinda kwa raha zako, you are untouchable man 👨
Bashite ni untouchable, siamini kama anayofanya bashite hayana baraka za mzee. Nshu ya kuvamia Clouds ilitosha kumuondoa kazin. Jambo moja ambalo mzee hafahamu au halipi uzito, in political arena you have to sacrifice anyone to save your credibility. Haikuwa rahisi kwa JK kukubali Lowassa akae pembeni 2008.
Kama Bashite hajaguswa hayo yote maigizo tu.
Never ever!Mkuu nauona mwisho wake
Sahau. Labda uwe kada.Neema hiii kwa sisi tusio na ajira [emoji13][emoji13][emoji13].
Sio rahisiMkuu nauona mwisho wake
Huwezi amini mzee wangu ni ccm damu, ila jana kusikia uteuzi wa mkuu wa chuo NIT sijui na uteuzi gani tena.Naona uongozi wake yeye kaamua uwe wa kuteua na kutengua.
Tuishachoka hiyo style aje na mpya
Na ikianguka itavunja kila kitu kitakachokua juu na chini yaakeHuwezi kata miguu ya meza, meza itaanguka
Huwezi amini mzee wangu ni ccm damu, ila jana kusikia uteuzi wa mkuu wa chuo NIT sijui na uteuzi gani tena.
Aliishia sema 'huyu bwana hana cha maana yeye no hayo hayo kila siku' nilicheka sana
Mwendo wa kuvua vi topTembeeni vifua mbele
Unaelewa kwamba mtoto mdogo anarefuka kwa kasi kubwa sana kuliko mtu mzima?Lakini ripoti ya Wizara ya fedha na mipango ya Ndugu Mpango - kama sikuisoma kwa makengeza - inasema uchumi wa Tanzania ni miongoni mwa the 7 fastest growing economies in the world, na wa kwanza katika Afrika ya Mashariki kwa kiwango cha 7.something, ukifuatiwa na wa Kenya 5. sth. Tutembee vifua mbele. Hapa Kazi tu.
Kiranga is a singularity.So you support J Mnyika.
I like that..
I thought you are in the side of the dude so called sadist
Nchi gani itakayomkubali? Labda Brundi na jirani zake.Balozi mtarajiwa tafadhali usichafue CV yake!