Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Mkuu utabiri wako umetimia wewe ni Nabii wa siasa namba 2 baada ya Lema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unásema?Mtu kama Halima Mdee na Heche kamwe hawamo kwenye mipango ya Tundu Lissu
Hiyo nafasi ya msemaji ipo wazi.Safu yako imekubalika mkuu.
Ktk mapendekezo yako, bado mwenezi lema tu ndiyo hajatajwa.