Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

flat na vtamb..
Nk Arusha
 

Ukiniambia waarusha asili nitakubaliana na wewe, tofauti na hapo hamna kitu halafu nimejaribu kuchunguza wengine wana meno kama mavi.

So hapa namaanisha kaskazini yote ukitoa tanga, waarusha tu ndiyo wazuri.
 
Panthetic ghost city of mwanza inaweza kweli shindana na Arusha kwa majengo marefu au unajilisha upepo?

KaArusha mkalinganishe na akina Mbeya, Tanga, dodoma. Mwanza na Dar paacheni kama palivyo, hata dodoma miaka michache ijayo itawanyamazisha.
 
Hizo sifa yLakini ukifika Arusha yenywe sasa... unajiuliza hivi nani analipwa na analipwa kiasi gani kuutangaza mji wa ovyo kama ule??
Mji umesongamana sehemu moja kama nywele za kwapa! Mchafu mchafu... Huduma hazina uhakika... Usumbufu wa polisi... Usafiri shida...
Barabara za shida...
Arusha ndo mji mtu akitaka nyumba ya kupanga dalali anamuuliza "ya udongo/tope au ya block? "Ya umeme au giza?
Maji ya shida...
 
Sahiv maji bwereeee, barabara zimepanuliwa na nyingine zinapanuliwa hadi raha
 
Kahama imeendela nn? Mji hauna plan. Kahama ni kama likijiji likubwa. Hivi nikikwambia uniambie CBD ya Kahama utaweza? Mji hata stand tu hauna unaulinganisha na moshi? Serious?
 
Sio sahii,ni kimji kidogo tu tena Chenye barabara moja ya kuingilia Mjini na moja ya kutokea tu,na sehemu kubwa yat
Mji haijapangiliwa(viwanja havijapimwa)ukiacha sehemu chache km njiro
Ukiongelea Kahama ya leo sasa unanza kutaja disaster risk towns... Ule mji wa Kahama ni janga lijalo la Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…