Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kahama imeendela nn? Mji hauna plan. Kahama ni kama likijiji likubwa. Hivi nikikwambia uniambie CBD ya Kahama utaweza? Mji hata stand tu hauna unaulinganisha na moshi? Serious?
Ukipata view yenye tall buildings kama hii ya Arusha hapo panthetic fishing town of Mwanza unitag
View attachment 2160335
View attachment 2160336
View attachment 2160337
View attachment 2160338
View attachment 2160339
Ukiongelea Kahama ya leo sasa unanza kutaja disaster risk towns... Ule mji wa Kahama ni janga lijalo la Taifa.
Jiji la wastaarabu nitofautinna kijiji cha wachuuzi wa dagaa.Vigorofa vyenyewe sasa 😁 vinaonekana katikati tu 🤣, pembeni yake sasa 😱🤣 ni aibu kubwa kuifananisha na mwanza. Nyie level yenu mbeya, tanga na dodoma. Ingawa dodoma miaka michache ijayo itawanyamazisha. Poleni sana
acha dharau kijana🤣🤣🤣🤣Ukiniambia waarusha asili nitakubaliana na wewe, tofauti na hapo hamna kitu halafu nimejaribu kuchunguza wengine wana meno kama mavi.
So hapa namaanisha kaskazini yote ukitoa tanga, waarusha tu ndiyo wazuri.
Hujajibu hoja yangu. Niambie Kahama CBD iko wapi? Stand ya Kahama iko wapi? Zaidi ya wingi wa watu na hela Kahama ni likijiji likubwa tu kama Mafinga..nyie ndiyo mnajipa moyo Kahama ni pazuri kuliko Shinyanga. Hiyo siyo kweli. Shinyanga iko planned tofauti na hilo likijiji la KahamaHuwa sioni ajabu kwa mchagga kusifia chake hata kama hakina kigezo ilimradi tu ajiridhishe moyo wake, ila wachache wanaelewa.
Kuna tule tupicha twao twa pale nssf hotel tumeisha .Tupieni na picha za Mwanza basi, naona za Arusha tu.
Hujajibu hoja yangu. Niambie Kahama CBD iko wapi? Stand ya Kahama iko wapi? Zaidi ya wingi wa watu na hela Kahama ni likijiji likubwa tu kama Mafinga..nyie ndiyo mnajipa moyo Kahama ni pazuri kuliko Shinyanga. Hiyo siyo kweli. Shinyanga iko planned tofauti na hilo likijiji la Kahama
Mji hata mfumo wa maji taka tu hakuna unaulinganisha na mji wa Moshi😂😂😂
Pia ujue mimi siyo Mchagga kwetu Iringa. Na Iringa ni pazuri na planned huwezi linganisha na hilo likijiji la Kahama
8acha dharau kijana🤣🤣🤣🤣
hata kwetu kilosa kuna majambazi wa kutisha.......sasa jeh! napo kuna hela?majambazi wanakaa penye hela mkuu
Mada ni Arusha ndio sehemu bora ya kuishi Tanzania ....sasa watu wa kahama, shinyanga na mwanza naona kama inawakera sana🤣🤣
Ukiniambia waarusha asili nitakubaliana na wewe, tofauti na hapo hamna kitu halafu nimejaribu kuchunguza wengine wana meno kama mavi.
So hapa namaanisha kaskazini yote ukitoa tanga, waarusha tu ndiyo wazuri.
Tanga wana uzuri gan. Hiyo sifa ni wewe tu ndo unawapa
Ulivyo nut unataka kunifundisha mm kuwa Kahama ni Shinyanga. Upo serious kweli wewe? Au utoto unakusumbua?Halaf kaa ujue khm ni Shinyanga vilevile