Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Sheikh hawa vijana waache dharau na misifa isiyokuwepo.
Baada ya miaka miwili watakuja kutuambia babati ni zaidi ya Dubai 🤣

Kuifananisha jiji la mwanza na kijiji cha arusha ni kuikosea heshima kanda ya ziwa.
Kijiji kikubwa cha Wavuvi cha Mwanza haliwezi fikia Miji yenye hadhi kama Arusha 👇



































 
Kila siku mnatuwekea vigorofa vile vile, vimechakaa, vyakizamani,,,hapo katikati minyumba tangu enzi za mwinyi kama ckosei. Arusha bado sana kwa mwanza. Labda mujilinganishe na mikoa mingine mzehe.
😂😂😂😂 Baada ya kibinyo,tuonyeshe vigorofa vipya kutoka fishing town yenu.

Nikajua umeweka picha hata ya barabara kumbe ni maumivu 😆😆
 
Kabisa ,mimi mwenyewe Nyumbani kwangu ukija hutotamani kuondoka
Well maintained attractive place

Arusha ndio number 1kwa sasa Tz

Tungekuwa na Bandari hii nchi ingekuwa
Mji mmoja Kama huko Canada TORONTO 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿


Mi
 
Maisha ya watu wa kawaida ni magumu jombaa acha kabida
 
Safi
 
Arusha ni mji wa kistaarabu sana Tanzania nzima hakuna mfano wake. Mji unaozoea kupokea watalii kila mwaka ni lazima uwe na mvuto fulani wenye sifa tofauti.

Huwezi kulinganisha na Dar yenye kila aina ya binadamu kutoka kila mkoa. Kero ya Dar ni kwamba washamba wengi ndio wanaojiona wajanja kuliko wajanja wenyewe waliowakuta jijini.
 
Mazingira ya Arusha yanavutia kuliko ya mikoa mingine iliyobakia. Mzungu akishaishi sehemu anaibadilisha na inakuwa inavutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…