safi💪Umeongea ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi💪Umeongea ukweli.
wanashindwa kuelewa millard kazi yake ni kuandika habari sio kutunga habari😢Sio taarifa ya Millard ni ya Serikali.
Tulia wewe Ngosha.Millard ayo ametokea kaskazini, na watu wa kaskazini most of them ni kawaida yao kusifia cha kwao hata kama hakina sifa. Namashaka na uraia wao hawa watu kwa maana wako very different na watanzania
Huyo atakuwa ana miaka ishirini hajafika Arusha kama hajui Ngusero ni lami yote unaumganisha hadi Morombo mpaka By Pass.Uko ngusero na morombo hadi intel sikuizi ni lami tu
wewe sijui unatoka wapi mkuu
Tulia wewe Ngosha.
Kaka arusha sisi tumesoma huko na kuishi unapoleta picha za jengo hapo barabara ya ngaramtoni opposite na Triple A club hilo jengo lishakuwa screpa lipo hapo sio china ya miaka 8 au kumi! Majengo mengi arusha pia ni ya NSSF kama hilo la kijenge roundi about sio la juzi tokea 2013 kwa hiyo hayo majengo unayosema yanaota kama uyoja ni uongo! Umeleta picha za miaka mingi iliyo piata pia kama apartments hata mwanza apartment ni nyingi tena si zakutegemea watalii wapange ni wananchi tu wapambamami mjini!Mimi nimemuelewa sana mtoa mada
Watu wengine wa miji mingine wanaleta hoja za population na ukubwa
Wanasahau kwamba ukiongelea population na ukubwa wa mji miji yao yote hata hainusi kwa dar
Lakini kuongelea kuhusu investments na real estate ni mbingu na ardhi Arusha iko mbali mno labda kwa vile nyie mnajengewa stendi na masoko🤣🤣
View attachment 2039170
View attachment 2039171
View attachment 2039172
View attachment 2039173
View attachment 2039174
View attachment 2039175
View attachment 2039176
View attachment 2039177
View attachment 2039178
View attachment 2039180
Mi ni mshabiki wa wote. Joh ana ngoma kali na Fid pia anazo kali na michano mikali pia.Kwahyo Joh makini anamzidi fid q?
Hali ya hewa na tourist industry mwanza ndo inapigwa gepu ila kwingine mwanza iko juu na inakua kwa kasi sana!Umeongea ukweli.
unafurahisha.. captain G == mdazi..Nawashukuru sana wachangiaji
Nimefurahishwa kuwa watu wengi wanakubaliana na hoja yangu
licha ya mapungufu ambayo ni kawaida kwa miji mingi ya kiafrika bado unaiacha Arusha kuwa moja ya majiji bora sana.
Na ni kutokana na hivyo serikali ikashawishika kupendekeza kuwepo kwa ofisi nyingi sana za kimataifa
kwa uchache tu
Mahakama ya Afrika
Mahakama ya UN-ICRM
Makao makuu ya posta Afrika PAPU
Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC ambayo sasa hivi ipo serious sana
Makao makuu ya Tanapa,EABC,ALW na atomic energy comission
bila kusahau uwelo wa kituo kikubwa cha Mikutano Aicc na kipo mbioni kujengwa kituo kukubwa afrika kitakachojulikana kama MK - ICC
Hii ni Aicc
View attachment 2039210
View attachment 2039211
Hahaa. Kuna watu reasoning yao ni very poor aisee.Kwaiyo unavoona wachina na wazungu wako Afrika ni kwamba sisi tumewazidi???
wanakuja kutunyonya amka wewe[emoji1787][emoji1787]
wachaga wapemba wakinga wote asili yao kutafuta
tena washkuruni wamekuja kuwachangamshia mji wenu huo
Bongo lalaz[emoji41]
Hata kama ni ya serikali huo ndio ukweli unaotosheleza, Kilimanjaro ni Mkoa masikini zaidi Tanzania, Mji wao wa mkoa ni sawa town council unapaswa kulinganishwa na miji midogo ya Makambako, Vuwawa, Manyoni, Magu kwani hata Singida ina maendeleo zaidi ya Moshi. Msilinganishe Kilimanjaro na Giant Mwanza.Sio taarifa ya Millard ni ya Serikali.
Ww unaongozwa na mihemko sio facts. Kwahiyo Serikali inaipendelea Kilimanjaro kwa hizo takwimu?Hata kama ni ya serikali huo ndio ukweli unaotosheleza, Kilimanjaro ni Mkoa masikini zaidi Tanzania, Mji wao wa mkoa ni sawa town council unapaswa kulinganishwa na miji midogo ya Makambako, Vuwawa, Manyoni, Magu kwani hata Singida ina maendeleo zaidi ya Moshi. Msilinganishe Kilimanjaro na Giant Mwanza.
Ila kwangu mimi naweza kusema mwanza ina nyumba kali za kimtaa mtaa kuliko Arusha! Ila arusha sema yuko branded kiutalii na kimataifa zaidi! Kwa mfano huduma za hospital huwezi kusema arusha inaizidi mwanza ni uongo! Kama ni private hospital mwanza pia zipo nyingi kama Aga khani,CF,Kamanga,Hindu,Samaria n.k kwa upande wa serkali kuna Bugando ambayo iko chini ya kanisa katoliki na ubia na serkali!,Seko toure, Nyamagana hospital n.k!Huyo atakuwa ana miaka ishirini hajafika Arusha kama hajui Ngusero ni lami yote unaumganisha hadi Morombo mpaka By Pass.
Ndio haikustahiliWw unaongozwa na mihemko sio facts. Kwahiyo Serikali inaipendelea Kilimanjaro kwa hizo takwimu?
yani nimeandika hadi nimeirudiaArusha imerudi kwenye chati ajabu bro tangu mama achkue nchi ameshaenda Arusha mara tatu na ameonyesha userious sana kwenye utalii
juzi amezidua hoteli ya nyota 5 Arusha
sasahivi aicc pale ni mikutano kila kukicha
na sasahivi kuna michuano ya mabungo yote ya eac yanaendelea tena Arusha
juzi nilikua na wageni wangu zile hoteli zote nilizozipoint zimejaa na nyingine ziko booked hadi januari
kama unamtu yuko Arusha kwenye sekta yoyote nliyotaja muulize akupe reference
hii ndio hoteli aliyoizindua mama last month Arusha
View attachment 2039199
ngoja tu utaskia mtu anasema hapa Arusha mara wachaggaEndeleeni kujadili miji lakini maswala ya ukabila nafikiri tungeachana nayo. Pia tusisahau kwamba mtu yeyote ana uhuru wa kuishi, kujenga, kuwekeza, kuoa na kuolewa sehemu yoyote hapa nchini. Dar siyo ya Wazaramo, Mwanza si ya Wasukuma, Arusha si ya Wamasai, Mbeya, Dodoma na Tanga vilevile. Nafikiri tuongelee uboreshaji wa haya majiji badala ya kuongea kama kwamba ni mali ya kundi fulani.
Chaji tecnongoja tu utaskia mtu anasema hapa Arusha mara wachagga
kuna kikundi flan aka gang sitaki kukitaja wana inferiority Complex ajabu wakiskia Arusha wanawashwa balaa 🤣🤣
ngoja tuwasubiri
Punguza kasiriko babu tafuta hela acha wivu wa kike!!!Bila kusahau sifa ya majambazi hatari yametokea huko!