Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Weka facts za kuongoza kila mwaka hapa.

Pili sio kila mtu ni mchanga,mimi sio mchaga ila napenda Arusha kuliko Mji wowote hapa Tzn.

Kuja huko lake zone ni kwa ajili ya kuvunja si unajua mnazaa Sana kwa hiyo nyie ni soko zuri tukija ni kuchungulia fursa.
Hao walioonyesha kuwa kuna kansa inaongoza ndio waliosema mji unakua kwa kasi.
unataka fact ipi?
Basi utakuwa msandawe
 
Hujasema ukweli,hakuna barabara hata moja Makao Mapya,Kaloleni au Ngarenaro ambayo haina lami nilipita tarehe 01/12/2021 nikashangaa kulivyopendeza na baada ya wamachinga kuondolewa mabarabarani Arusha imependeza sana lazima ninunue kiwanja kule Safari City
safi mkuu hata mimi nilipita ngarenaro sikuamini
barabara zote lami za kisasa wamejengewa na uwanja mzuri wa michezo
Kwa hili nawapa kongole jiji la Arusha

Screenshot_20211210-110711.png


Screenshot_20211210-110721.png
 
Back
Top Bottom