Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Ni aibu mno na kujidhalilisha kuikosoa mwanza na kukisifia kiarusha chako.
Onyesha barabara hata moja hapo kwenye kijiji kikubwa cha Mwanza inayofanana na hii👇

JamiiForums-244829030.jpeg


JamiiForums-8108039.png
 
Kwa vitu vingi ilhali hadi hoteli wajengewe na serikali 🤣

Hebu nitumie picha ya juu ya dodoma kama hio

Dodoma ni mji wa kiserikali mkuu lazima upangwe na ndio maana serikali wanajiwekeza sana

Ila when it comes to private investments haiwezi nusa hata pua kwa Arusha

Alafu kama mama anawakacha kiaina huo mji wenu wa mchongo 🤣🤣
Hii ni hoteli ya serikali sio? 🤣🤣

Screenshot_20211210-104817.png
 
Mnaliwezaje lile vumbi ile mitaanya ungalimi, uswahilini, ngusero, moromboo, olasiti na ukanda wote kusini maghalib,
 
Mbona wachaga mnakimbilia mwanza kijijini mnashindwa kubaki mjini?
kila mwaka Mwanza inaoongoza kwa miji inayokua kwa kasi afrika.
Kwaiyo unavoona wachina na wazungu wako Afrika ni kwamba sisi tumewazidi???
wanakuja kutunyonya amka wewe🤣🤣
wachaga wapemba wakinga wote asili yao kutafuta
tena washkuruni wamekuja kuwachangamshia mji wenu huo
Bongo lalaz😎
 
Ukiondoa hali nzuri ya hewa, Arusha ni jiji la ovyo kabisa. Nyumba za ovyo zipo hadi ndani ya CBD, barabara ni nyembamba na hazina hadhi. Barabara nyingi hazina lami nenda makao mapya uone vumbi la ugoro. Arusha ndani ya miaka 60 ya uhuru inafaa kuitwa squalor of Africa
Hujasema ukweli,hakuna barabara hata moja Makao Mapya,Kaloleni au Ngarenaro ambayo haina lami nilipita tarehe 01/12/2021 nikashangaa kulivyopendeza na baada ya wamachinga kuondolewa mabarabarani Arusha imependeza sana lazima ninunue kiwanja kule Safari City
 
Mbona wachaga mnakimbilia mwanza kijijini mnashindwa kubaki mjini?
kila mwaka Mwanza inaoongoza kwa miji inayokua kwa kasi afrika.
Weka facts za kuongoza kila mwaka hapa.

Pili sio kila mtu ni mchanga,mimi sio mchaga ila napenda Arusha kuliko Mji wowote hapa Tzn.

Kuja huko lake zone ni kwa ajili ya kuvunja si unajua mnazaa Sana kwa hiyo nyie ni soko zuri tukija ni kuchungulia fursa.
 
Back
Top Bottom