Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Kaka arusha sisi tumesoma huko na kuishi unapoleta picha za jengo hapo barabara ya ngaramtoni opposite na Triple A club hilo jengo lishakuwa screpa lipo hapo sio china ya miaka 8 au kumi! Majengo mengi arusha pia ni ya NSSF kama hilo la kijenge roundi about sio la juzi tokea 2013 kwa hiyo hayo majengo unayosema yanaota kama uyoja ni uongo! Umeleta picha za miaka mingi iliyo piata pia kama apartments hata mwanza apartment ni nyingi tena si zakutegemea watalii wapange ni wananchi tu wapambamami mjini!
 
unafurahisha.. captain G == mdazi..
unafungua ac. nyingi ili uwe unajifanyia backup kwenye comment au.
Hiyo simu ya tecno itazima ichaji mapema.
 
Hahaa. Kuna watu reasoning yao ni very poor aisee.
 
Sio taarifa ya Millard ni ya Serikali.
Hata kama ni ya serikali huo ndio ukweli unaotosheleza, Kilimanjaro ni Mkoa masikini zaidi Tanzania, Mji wao wa mkoa ni sawa town council unapaswa kulinganishwa na miji midogo ya Makambako, Vuwawa, Manyoni, Magu kwani hata Singida ina maendeleo zaidi ya Moshi. Msilinganishe Kilimanjaro na Giant Mwanza.
 
Ww unaongozwa na mihemko sio facts. Kwahiyo Serikali inaipendelea Kilimanjaro kwa hizo takwimu?
 
Huyo atakuwa ana miaka ishirini hajafika Arusha kama hajui Ngusero ni lami yote unaumganisha hadi Morombo mpaka By Pass.
Ila kwangu mimi naweza kusema mwanza ina nyumba kali za kimtaa mtaa kuliko Arusha! Ila arusha sema yuko branded kiutalii na kimataifa zaidi! Kwa mfano huduma za hospital huwezi kusema arusha inaizidi mwanza ni uongo! Kama ni private hospital mwanza pia zipo nyingi kama Aga khani,CF,Kamanga,Hindu,Samaria n.k kwa upande wa serkali kuna Bugando ambayo iko chini ya kanisa katoliki na ubia na serkali!,Seko toure, Nyamagana hospital n.k!
 
Endeleeni kujadili miji lakini maswala ya ukabila nafikiri tungeachana nayo. Pia tusisahau kwamba mtu yeyote ana uhuru wa kuishi, kujenga, kuwekeza, kuoa na kuolewa sehemu yoyote hapa nchini. Dar siyo ya Wazaramo, Mwanza si ya Wasukuma, Arusha si ya Wamasai, Mbeya, Dodoma na Tanga vilevile. Nafikiri tuongelee uboreshaji wa haya majiji badala ya kuongea kama kwamba ni mali ya kundi fulani.
 
yani nimeandika hadi nimeirudia
Mama anaelewa sana umuhimu wa utalii
ndani ya miaka mitano Arusha itakua mbali mno💪💪
 
ngoja tu utaskia mtu anasema hapa Arusha mara wachagga
kuna kikundi flan aka gang sitaki kukitaja wana inferiority Complex ajabu wakiskia Arusha wanawashwa balaa 🤣🤣
ngoja tuwasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…