Kama huu ugonjwa hauna dawa Wala tiba utajikinga vipi na kufa?....
wahi mirembe hospitali Dodoma kichaa hicho kinakunyemeleaMkuu ikifika mida ya jioni unapata maumivu makali ya viungo na kichwa kuuma kama mimi? Maana nahisi hii kitu inatembea mwilini mwangu
Corona ni kwa sababu pandemic ni ugonjwa unasambaa dunia nzima kwa njia ya haraka haijalishi unauwa sana au hapana ila unasambaa kwa njia ya haraka, Malaria sio issue ya kidunia hata kimikoa tu. utakuta kuna mikoa malaria sana mingine sio sana wala hakuna hatari ya kumwambikiza mtu ukiwa na malaria. Huyu mdudu wa corona tunapigana naye hata kumuona hatumuoni ila mbu unamuona.
Unajua inahitaji kauli moja tu ya Mh.Rais ,kuepusha watu na vifo hv
Pole Akachube aisee Mungu ampe pumziko mwamba alikuwa mtu wa watu sanaMuuza magari maarufu jijini Dar es Salaam, Akachube afariki dunia usiku wa kuamkia leo...
Yes, hasa bichwa kuuma.Mkuu ikifika mida ya jioni unapata maumivu makali ya viungo na kichwa kuuma kama mimi? Maana nahisi hii kitu inatembea mwilini mwangu
Huyo mama D mm namzingua tu....![emoji23][emoji23][emoji23] hajui kuwa wewe ni ex-pilato
Asije akakufanya ukarudi mzgni
Mwacheni mama D bana apumzike
[emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Najua..Huyo mama D mm namzingua tu....!
otherwise sina noma nae....
Nafikiri ungetoa takwimu za Corona.tangu tulipoanza kutumia mask , sanitizer na maji yakunawa.
alafu tuangalie ugonjwa unaongezeka au unapungua
Mama D umekaa mitaa hiyo ya Akachube??Lala salama jirani Said Akachube
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
"Chukueni tahadhari na kufuata muongozo wa WHO kupitia wizara ya afya, Corona ipo na inaua"..Unahisi kauli gani inaweza kuepusha watu na vifo hivi?
Hebu tusaidie hiyo kauli moja tuu inayozidi ile ya kuambiwa tuchukue tahadhari aliyotuambia rais John Pombe Magufuli ili tuwaambie na nchi zingine duniani watumie hiyo hiyo kauli kuepusha vifo
Mimi ningesema tuendelee kuchukua tahadhari, tule vizuri, tufanye mazoezi na kuchapa kaziπ