Duuu 3M kwa siku,kweli hapa ndo naamini kuna usanii na wasanii. Yaani hyo 3M hata Magufuli mwenyewe raia no.1 tz hatumii hyo Pesa per day.yaani hata mo dewjWakukaya unakwama wapi dem wa Rayvanny asingeishi nae kama hana fedha yule dem nilikutana nae century cinema mlimani aisee ana spend pesa nadhani anatumia zaidi ya 3M kwa siku na kalikuwa na msururu wa watu wanakafanya kama Queen
Mkuu nimesema nadhani sio kwamba ndizo anazotumia yani kwa crewe aliyonayo ni hatari analindwa kwanza.Duuu 3M kwa siku,kweli hapa ndo naamini kuna usanii na wasanii. Yaani hyo 3M hata Magufuli mwenyewe raia no.1 tz hatumii hyo Pesa per day.yaani hata mo dewj
[emoji23][emoji23][emoji23] kisa?Kwa kifupi atangaze tuanze kufuta nyimbo zake na kumtenga rasmi
Kwanzaa hana jeuri ya kutumia hata 1m kwa sikuMkuu nimesema nadhani sio kwamba ndizo anazotumia yani kwa crewe aliyonayo ni hatari analindwa kwanza.
.
Niliona post yake IG anasema anatumia hadi 1.5M kupiga hizo picha sasa huku sijui ila kwenye kutumia kale kabinti hatari Rayvanny ajenge nyumba kwao kama hajajenga kanamnyonya
Sasa kama mtu anataka akaangalie kwingine ndo nimuonee wivu. Ridhiki mafungu saba.
safi sana badman mfungue akili huyo koloMy brother jux anastruggle?how?akat daily anatoa hit songs na ana biashra inaend poa tu!afu juz alhojiwa kuhus kutopga shoo nyng akajb ttzo bei,hapg shoo ya lak so usione msanii anapga shoo daily ndo ukaona kayaptia Noo,kla mtu ana bei yke,uftlie vtu mzee uckurupuke,ukisema jux anastruggle kweny mzk je chid benz, q chief na tid watakuaje???
Watu na timu zetu...yani mimi mtu akiwa usafini hata kama ni bubu namkubali tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] kisa?
Mimi naomba watangaze show mji mmoja mfano dar halafu tuone nan ataahirisha show.aiseee clouds mwaka jana walighairi show miji tofauti mondi mtwara clouds dsm lakini ticket zilichachaKwa kifupi atangaze tuanze kufuta nyimbo zake na kumtenga rasmi
Point sana mkuuDogo harmo namuonea huruma Sana asije baadae kuingia Kwenye madawa yakulevya huu mziki ni mgumu kwel kwel hautegemei kipaji pekee ndo maana jux,benpol,Ruby,barnaba wanatruggle hawakui kimziki japo wanavipaji vikubwa kuliko hata harmonize.
Hati ya hilo ghorofa umeiona? Kinachokuogopesha ni Swimming pool? Kama Diamond anapanga nyumba na kusema kanunua halafu fella anasema kapanga vipi hawa wengine?Huyo Sara kamkuta Hamo ana ghorofa kajenga kwa pesa za muziki labda km alimfanyia finishing... Rayvanny ana nyumba yenye swimming pool sasa wananyonywaje awa watu? Lavalava kaanza muziki juzi tu
Vanesa mdee na yeye yupo WCB??Dogo harmo namuonea huruma Sana asije baadae kuingia Kwenye madawa yakulevya huu mziki ni mgumu kwel kwel hautegemei kipaji pekee ndo maana jux,benpol,Ruby,barnaba wanatruggle hawakui kimziki japo wanavipaji vikubwa kuliko hata harmonize.
je sababu ikiwa ni mkataba wake umeisha na sio kunyonywa kama mnavyodai, bado mtaona ni dhambi yeye kuendelea na maisha yake ya kujitegemea??Hapo ndio alipoanza kuchemka. Nje ya WCB hawezi kuwa harmonize huyu. Ile ni kampuni,kupanda kwake kote kuna watu nyuma yake wametumia nguvu yao,pesa zao. Watu watamdanganya ananyonywa sana WCB,hiyo ipo,ajiulize tu je angekuwa peke yake kuanzia mwanzo angekuwa na hivyo alivyonavyo?. Yeye anataka apate 100% kila anachokichuma kwa sasa? Wasanii wengi hawajui nini maana ya kuwa kwenye Leble. Usiwaone wasanii wakubwa marekani,wamenyonywa sana na haya makampuni yanayodhamini kazi zao kama SONY
Numbisa habari yako.Aiseee hadi meneja anatetemeshwa na tetesi za mitandaoni. Kuwa mswahili raha sana unaropoka tu kila kinachokujia akilini.
Bado Ushamba Haujakuisha...Hivi Una Miaka Mingapi Dogo???Mkuu nimesema nadhani sio kwamba ndizo anazotumia yani kwa crewe aliyonayo ni hatari analindwa kwanza.
.
Niliona post yake IG anasema anatumia hadi 1.5M kupiga hizo picha sasa huku sijui ila kwenye kutumia kale kabinti hatari Rayvanny ajenge nyumba kwao kama hajajenga kanamnyonya
Numbisa habari yako.