Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

Wakukaya unakwama wapi dem wa Rayvanny asingeishi nae kama hana fedha yule dem nilikutana nae century cinema mlimani aisee ana spend pesa nadhani anatumia zaidi ya 3M kwa siku na kalikuwa na msururu wa watu wanakafanya kama Queen
Duuu 3M kwa siku,kweli hapa ndo naamini kuna usanii na wasanii. Yaani hyo 3M hata Magufuli mwenyewe raia no.1 tz hatumii hyo Pesa per day.yaani hata mo dewj
 
Duuu 3M kwa siku,kweli hapa ndo naamini kuna usanii na wasanii. Yaani hyo 3M hata Magufuli mwenyewe raia no.1 tz hatumii hyo Pesa per day.yaani hata mo dewj
Mkuu nimesema nadhani sio kwamba ndizo anazotumia yani kwa crewe aliyonayo ni hatari analindwa kwanza.
.
Niliona post yake IG anasema anatumia hadi 1.5M kupiga hizo picha sasa huku sijui ila kwenye kutumia kale kabinti hatari Rayvanny ajenge nyumba kwao kama hajajenga kanamnyonya
 
Kwanzaa hana jeuri ya kutumia hata 1m kwa siku
 
My brother jux anastruggle?how?akat daily anatoa hit songs na ana biashra inaend poa tu!afu juz alhojiwa kuhus kutopga shoo nyng akajb ttzo bei,hapg shoo ya lak so usione msanii anapga shoo daily ndo ukaona kayaptia Noo,kla mtu ana bei yke,uftlie vtu mzee uckurupuke,ukisema jux anastruggle kweny mzk je chid benz, q chief na tid watakuaje???
safi sana badman mfungue akili huyo kolo
 
wizkid aliondoka kwa banky w mapema tu baada ya kutoa show me ur money na mbona katusua? angebaki angekuwaje?
pantoranking alisepa boston music mapema tu now anatusua na aliondoka pale akiwa na ile hit ya girlie o!
mr P toka aanze kujisimamia mwenyew sasa ana lebel na msanii wake (singah) na anafanya powa.
tatizo bongo fitna nyingi wivu, tamaa ndo zinarudisha nyuma wengine!
kama huyo mkubwa fella yeye kama meneja anashindwaje kujua msanii yuko ndani ya mkataba au lah? et kaskia kwenye mitandao!
kufanya hivo ni kujarbu kuonyesha kuwa harmo hana shukran, ana kiburi, jeuri!
wao wampe baraka kama kaamua kuanza maisha yake. nae aage vizuri basi that's life!
 
Kwa kifupi atangaze tuanze kufuta nyimbo zake na kumtenga rasmi
Mimi naomba watangaze show mji mmoja mfano dar halafu tuone nan ataahirisha show.aiseee clouds mwaka jana walighairi show miji tofauti mondi mtwara clouds dsm lakini ticket zilichacha
 
Dogo harmo namuonea huruma Sana asije baadae kuingia Kwenye madawa yakulevya huu mziki ni mgumu kwel kwel hautegemei kipaji pekee ndo maana jux,benpol,Ruby,barnaba wanatruggle hawakui kimziki japo wanavipaji vikubwa kuliko hata harmonize.
Point sana mkuu
 
Hapo ndio alipoanza kuchemka. Nje ya WCB hawezi kuwa harmonize huyu. Ile ni kampuni,kupanda kwake kote kuna watu nyuma yake wametumia nguvu yao,pesa zao. Watu watamdanganya ananyonywa sana WCB,hiyo ipo,ajiulize tu je angekuwa peke yake kuanzia mwanzo angekuwa na hivyo alivyonavyo?. Yeye anataka apate 100% kila anachokichuma kwa sasa? Wasanii wengi hawajui nini maana ya kuwa kwenye Leble. Usiwaone wasanii wakubwa marekani,wamenyonywa sana na haya makampuni yanayodhamini kazi zao kama SONY
 
Huyo Sara kamkuta Hamo ana ghorofa kajenga kwa pesa za muziki labda km alimfanyia finishing... Rayvanny ana nyumba yenye swimming pool sasa wananyonywaje awa watu? Lavalava kaanza muziki juzi tu
Hati ya hilo ghorofa umeiona? Kinachokuogopesha ni Swimming pool? Kama Diamond anapanga nyumba na kusema kanunua halafu fella anasema kapanga vipi hawa wengine?
 
Dogo harmo namuonea huruma Sana asije baadae kuingia Kwenye madawa yakulevya huu mziki ni mgumu kwel kwel hautegemei kipaji pekee ndo maana jux,benpol,Ruby,barnaba wanatruggle hawakui kimziki japo wanavipaji vikubwa kuliko hata harmonize.
Vanesa mdee na yeye yupo WCB??
 
Hapo ndio alipoanza kuchemka. Nje ya WCB hawezi kuwa harmonize huyu. Ile ni kampuni,kupanda kwake kote kuna watu nyuma yake wametumia nguvu yao,pesa zao. Watu watamdanganya ananyonywa sana WCB,hiyo ipo,ajiulize tu je angekuwa peke yake kuanzia mwanzo angekuwa na hivyo alivyonavyo?. Yeye anataka apate 100% kila anachokichuma kwa sasa? Wasanii wengi hawajui nini maana ya kuwa kwenye Leble. Usiwaone wasanii wakubwa marekani,wamenyonywa sana na haya makampuni yanayodhamini kazi zao kama SONY
je sababu ikiwa ni mkataba wake umeisha na sio kunyonywa kama mnavyodai, bado mtaona ni dhambi yeye kuendelea na maisha yake ya kujitegemea??
 
I can't say anything because of just rumors but the only thing I can say is that stepping out of comfort zone is always a sign of greatness
 
Mkuu nimesema nadhani sio kwamba ndizo anazotumia yani kwa crewe aliyonayo ni hatari analindwa kwanza.
.
Niliona post yake IG anasema anatumia hadi 1.5M kupiga hizo picha sasa huku sijui ila kwenye kutumia kale kabinti hatari Rayvanny ajenge nyumba kwao kama hajajenga kanamnyonya
Bado Ushamba Haujakuisha...Hivi Una Miaka Mingapi Dogo???
 
Back
Top Bottom