Said Fella: Watanzania naombeni mnichangie nikatibiwe India, Yamoto Band hawapokei simu zangu

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
"Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.

Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.

Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella

Toa maoni yako…
 
Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.

Pambana na hali yako. Kwanza uliwadhulumu hela zao ukajifanya unawajengea nyumba huko Tabata

Hata akina Nature na TMK nao uliwadhulumu pia. Hakuna unachowadai na hakuna cha huruma
 
Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.

Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.

Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella

Toa maoni yako…
Mmh hana bima kubwa au mafao ya ajira anategemea comrade wa kazini, tunajisahao sana sijui kwanini hasa mtu akiwa maarufu.
 
Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,

Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndivyo utakavyoishi kesho,

Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,

Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,

Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.
 
Hakuna materialist person mwenye akiba.

Kuna utofauti sana wa utajiri wa Watanzania na Wazungu
 
Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,

Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndio utakavyoishi kesho,

Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,

Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,

Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.
Wanajidekeza tu yaani mtu anaomba msaada hajauza hata asset moja sijui wanaona hela za watanzania nizakuchota tu, sasa kaka huyu Fella amekua wa kuchangiwa vipi bibi zetu huko ushagoo?
 
Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.

Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.

Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella

Toa maoni yako…
asee
 
Back
Top Bottom