Said Fella: Watanzania naombeni mnichangie nikatibiwe India, Yamoto Band hawapokei simu zangu

Pole sana fella. Maradhi ni mtihani mkubwa kwa Binadamu. Ila Fell nakumbuka nilimsikia anasema ana nyumba 11. Why asiuze hata 5 akapate matibabu hayo?

Siku hizi sio Manager tena wa Diamond?
 
Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,

Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndivyo utakavyoishi kesho,

Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,

Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,

Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.
Well Well said.
 
Pambana na hali yako. Kwanza uliwadhulumu hela zao ukajifanya unawajengea nyumba huko Tabata

Hata akina Nature na TMK nao uliwadhulumu pia. Hakuna unachowadai na hakuna cha huruma
Kuwa na huruma na mgonjwa, usimuhesabie makosa. Ilikuwa tu ni shetani labda alimdanganya akayafanya hayo.
 
Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,

Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndivyo utakavyoishi kesho,

Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,

Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,

Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.
Nadhani pia wasanii wetu na watu maarufu huwa wanajulikana ila umaarufu wao hauendani na uhalisia wa kipato chao.

Labda kwa hawa wanaochipukia sasa wanaweza wakawa wamejifunza kwa waliowatangulia
 
Pambana na hali yako. Kwanza uliwadhulumu hela zao ukajifanya unawajengea nyumba huko Tabata

Hata akina Nature na TMK nao uliwadhulumu pia. Hakuna unachowadai na hakuna cha huruma
hadi wewe Uvccm una mkataa diwani wako
 
Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,

Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndivyo utakavyoishi kesho,

Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,

Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,

Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.
Dah umenitafakarisha sana juu ya future yangu. Imebidi niicopy comment yako hii nikaituze mahala nitakuwa naipitia.

Ahsante kwa somo mkuu. Naanza mara moja kulifanyia kazi.
 
Anasumbuliwa na nini kwanza?
Mbona haweki wazi

Ova
 
Hata kama ukifanya hivyo sidhani kama utatoboa kwenye ugonjwa mkuu matibabu ni gharama mfano umeumwa matibabu yanahitaji milion 200 utazitoa wapi labda wewe unazungumzia matibabu ta milion 5 , 10 20 30 40 lakini zaidi ya hapo na yale ya kujiuuguza kama sio tajiri hutoboi nilazima utaomba msaada tu
Hata Ruge aliomba msaada, matibabu ni gharama sana.
 
"Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.

Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.

Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella

Toa maoni yako…
CCM nao hawapokei?
 
Back
Top Bottom