Said Fella: Watanzania naombeni mnichangie nikatibiwe India, Yamoto Band hawapokei simu zangu

Said Fella: Watanzania naombeni mnichangie nikatibiwe India, Yamoto Band hawapokei simu zangu

Hata kama ukifanya hivyo sidhani kama utatoboa kwenye ugonjwa mkuu matibabu ni gharama mfano umeumwa matibabu yanahitaji milion 200 utazitoa wapi labda wewe unazungumzia matibabu ta milion 5 , 10 20 30 40 lakini zaidi ya hapo na yale ya kujiuuguza kama sio tajiri hutoboi nilazima utaomba msaada tu
SIO RAHISI HIVO WANAVO DHANI WAO, EBU FIKIRIA ULAZWE INDIA HOSPITALI ZILE FIRST CLASS, KWA SIKU MILIONI MIA TU, YANI SIKU KUMI BI IMEKATA, MUNGU ATUEPESHE WAZEE UGONJWA SIO POA
 
Hii si taarifa ya kweli,

Na hata kama ingekuwa kweli, meneja wa diamond ni fella,salaam na tale...sasa anakosaje hela ya matibabu!?

" STUKENI UPEPO UNAHAMISHWA(Spinning) KUZIMA SAKATA LA WAKATOLIKI FEKI LISIJADILIWE!"
KAKA ACHA KUPOTOSHA KAMA HUWEZI TOA ACHA WENZAKO WAKATOE, HUJAELEWA KIPI, HUJUI KUWA MKE WAKE KATOKA KULALAMA HUKO INSTA?, KAA KIMYA MKUU KAMA HUWEZI SAIDIA ACHA WATU WATOE
 
Aiseee maisha kama MBUPU za mbuzi ,zinaenda mbele na nyuma ,leo Le Bilionea Grand Mopao Said Fella anaomba pesa ya matibabu?

2008 ehee 2009 ohhooo Mara utasikia Meneja wake hufai amekuja lostoki ameondoka na gari ,amekuja na ndala ukichungulia ku mfuko anaondoka na timba ,aliyelala sebuleni kwangu ,wahenga walinena TENDA WEMA HUJITENGE.
 
IMG_2213.jpeg
 
Unajua kama wewe ni faler

KAKA ACHA KUPOTOSHA KAMA HUWEZI TOA ACHA WENZAKO WAKATOE, HUJAELEWA KIPI, HUJUI KUWA MKE WAKE KATOKA KULALAMA HUKO INSTA?, KAA KIMYA MKUU KAMA HUWEZI SAIDIA ACHA WATU WATOE
Nyinyi wote Hamna akili!!!

Hamtambui ya kwamba huu ni mchezo wa serikali kuhamisha upepo uliovuma wa wakatoliki feki?!

Kwa akili ndogo tu hata ya kuvukia barabara tu, meneja mwenzake fela (babu tale ) ni mbunge...unadhani anakosa kupata connection na waziri wa afya fella akatibiwe nje?!

Muwe mna-reason vitu mjue kwamba mnaingizwa chaka!
 
SIASA IKIKAA KICHWANI MUDA MWINGINE UNAKUA KA ZEZETA, MAREHEMU RUGE AKUOMBWA KUCHANGIWA? AKILI YA KAWAIDA TU FELLA UTAMRINGANISHA NA RUGE KIMAISHA NA INCOME ZAO WALIZO MAKE? PUNGUZA UJUHA MKUU.
 
Mimi nikiumwa ndugu zangu watahangaika peke yao, hakutakuwa na msaada kutoka kwa diwani, mbunge wala msanii.
Kila mtu ashinde mechi zake
Wewe ni sehemu ya jamii na ndugu zako ni sehemu yako unapokuwa nao karibu sio kila wakati unakuwa nao....
 
Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,

Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndivyo utakavyoishi kesho,

Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,

Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,

Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.
Umeshusha nondo nzuri Sana hakika
 
Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.

Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.

Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella

Toa maoni yako…
Hata WCB wamemtosa?
 
Ukitaka uujue ubaya wa Fella kamsikilize Mamba/Oil Chafu/ Dudubaya. Hakika utachukizwa na mabaya aliyofanya.
 
Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,

Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndivyo utakavyoishi kesho,

Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,

Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,

Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.
AFYA ni very complicated .

ushauri wako ni mzuri

ila wha i need to say

Fella ameumwa mfulilizo na India na nchi kadhaa kaenda

kwahiyo hata angekuwa na PESA kajiwekea he could went broke .

kuomba kuchangiwa ni sahihi kabisa kwakuwa Afya ikiyumba unaweza kuuza mali zote zikaisha rejea Ruge mutahaba the guy was rich ila walitumia pesa hadi wakaanza kuchangisha.

it is better kuweka AKIBA ila Afya isikie tu
 
Back
Top Bottom