Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,
Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndivyo utakavyoishi kesho,
Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,
Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,
Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.