Said Fella: Watanzania naombeni mnichangie nikatibiwe India, Yamoto Band hawapokei simu zangu

Said Fella: Watanzania naombeni mnichangie nikatibiwe India, Yamoto Band hawapokei simu zangu

Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,

Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndivyo utakavyoishi kesho,

Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,

Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,

Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.
Kabisa
 
Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.

Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.

Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella

Toa maoni
Hii mada nilianzisha tangu jana Nafurahia magumu anayoyapitia Fella kuhusu afya yake na aliowasaidia kumtenga haswa chama kile


Mhariri Moderator Active Cookie Payge Panel Principled Innovator YinYang Boqin Zenora Wand BlackBold
 
Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.

Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.

Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella

Toa maoni yako…
.. Bora niwasaidie walemavu na masikini ambao hawajawahi kushika jata laki mkononi, yatima wapo kibao na hawajawahi mkosea mtu lolote lile, Hao ndo wakuwasaidia.. Unatoa hela mfukoni unaingiza kwenye simu unamtumia mtu alietajirika kwa kuwanyonya watu.
 
Back
Top Bottom