Said Fella: Watanzania naombeni mnichangie nikatibiwe India, Yamoto Band hawapokei simu zangu

Said Fella: Watanzania naombeni mnichangie nikatibiwe India, Yamoto Band hawapokei simu zangu

Huyu si nilikuwa nasikia ni billionaire. Mbona gafla sana au hawa jamaa ambao wako kwenye industry ya sanaa pesa zao ni kutumbua tu na kula raha wakipata shida kidogo wanajua tu kukimbia kuomba msaada na kulialia hovyo.
Ila kiufupi huyu mzee ni kati ya watu hawastaili kabisa kulialia kwa muda aliokaa kwenye muziki
 
Hii taarifa huenda sio ya kweli fella huyu huyu!?
Shida yenu mnahadaika sana na maisha yao feki ya mitandaoni
IMG_8896.jpeg
 
Hakika,atajamba ushuzi wa ngomani na mjambaji hatajulikana.
Wasituchanganye hapa.. Tuache kununua mahitaji ya watoto shule, kisa kuwachangia wapuuzi. Hapo atulie tu apumzike kwa aman. aache kujidhalilisha, aslay aache kula ujana amchangie mtu alomnyonya kiasi kile!!!! Na kama upo JF mdogo etu aslay mwendo ni huo huo.. Hakuna kushika simu.
 
Subhanallah!
 
Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,

Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndivyo utakavyoishi kesho,

Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,

Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,

Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.
Hata kama ukifanya hivyo sidhani kama utatoboa kwenye ugonjwa mkuu matibabu ni gharama mfano umeumwa matibabu yanahitaji milion 200 utazitoa wapi labda wewe unazungumzia matibabu ta milion 5 , 10 20 30 40 lakini zaidi ya hapo na yale ya kujiuuguza kama sio tajiri hutoboi nilazima utaomba msaada tu
 
Ukifikia kuhitaji matibabu ya milioni 200 ni bora ukubali kufa tu ili usitese familia, ndugu, jamaa na marafiki.
 
Back
Top Bottom