Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Hata huyo Mbosso tutamuambia asipokee pia. Dhulmat mkubwa huyuSasa anasemaje kwamba hawapokei simu zake kumbe aliwadhulumu? Mbona anajifanya hamnazo?
Hata huyo Mbosso tutamuambia asipokee pia. Dhulmat mkubwa huyuSasa anasemaje kwamba hawapokei simu zake kumbe aliwadhulumu? Mbona anajifanya hamnazo?
Unajua kama wewe ni falerHii si taarifa ya kweli,
Na hata kama ingekuwa kweli, meneja wa diamond ni fella,salaam na tale...sasa anakosaje hela ya matibabu!?
" STUKENI UPEPO UNAHAMISHWA(Spinning) KUZIMA SAKATA LA WAKATOLIKI FEKI LISIJADILIWE!"
Umemuwekea maneno mdomoni, la sivyo weka sourceYamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.
Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.
Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella
Toa maoni yako…
Na hio ni show off tu sio kwamba ana hela za kuweza kujiuguza miaka 2 bila kuchoka na zisikate hata huyo domondii hanaa hela hizo za kujiuguza miaka 2 yupo hoi kitandani bila kutembeza bakuri.. au basi acha nisimalize manenokwenye ile yamoto band mtu anaeonekana ana pesa kwa sasa ni Mbosso tu,
😀😀😀Ni yeyeHuyu si aliwahi kuwa diwani au nimechanganya mambo? ccm mchangieni ndugu yenu
Basi sawaaa😀😀😀😀Ni yeye
Demi nimekumisi walahi tunaweza kupata bia jioni ya leoBasi sawaaa😀
😀😀😀 SMHWakiwa na mashati yao ya kijani hua wanaona maisha wameyamaliza aende Lumumba
Kabishangaza sana anaona amekosa engagement utoto tabu sana 😁😁😆Kuna watu mnaichukulia JF very serious aisee,kwa hiyo unawaita Mod's ili wauunganishe huu uzi na uzi wako kisa wewe ulianzisha toka jana?
Kwani huu uzi ukiwa hapa wewe unapata hasara gani?
Ukifikia kuhitaji matibabu ya milioni 200 ni bora ukubali kufa tu ili usitese familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Hivi CCM kwanini huwa inawatelekeza hawa watu wakipata matatizo ? Kazi kwenu nyie machawa wengine.ccm ikiwatumia inawatelekeza wakati wa matatizoYamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.
Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.
Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella
Toa maoni yako…
Hili swali usije ukaomba kukutana nalo na muda huo una shida ya Hela ya haraka harakaPesa zake alizipeleka wapi??
Maneno mazuri ya kwanza kuambiwa tangu huu mwaka uanze😍😍. Location pleaseDemi nimekumisi walahi tunaweza kupata bia jioni ya leo
Kuwa diwani au mbunge au yeyote ule hakukuvui ubinadamu mchangie tuu hata 100 maana utakuwa umewasaidia wategemezi wakeHuyu si aliwahi kuwa diwani au nimechanganya mambo? ccm mchangieni ndugu yenu
We jamaaaa weueweee🫵🫵🫵🫵🫵Sasa kama Fella anaomba hela ya matibabu vipi kuhusu Bizman?
MARA YAKO YA MWISHO KUMUONA AU KUMSIKIA FELLA AKIWA MZIMA NI LINI? HUJASIKIA MALALAMIKO YA MKEWE?Hii taarifa huenda sio ya kweli fella huyu huyu!?
Kijiji beach resort 😎Maneno mazuri ya kwanza kuambiwa tangu huu mwaka uanze😍😍. Location please