Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Pambana na hali yako. Kwanza uliwadhulumu hela zao ukajifanya unawajengea nyumba huko TabataYamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.
Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.
Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella
Toa maoni yako…
Kwani Bizman anaumwa naye?Sasa kama Fella anaomba hela ya matibabu vipi kuhusu Bizman?
Mmh hana bima kubwa au mafao ya ajira anategemea comrade wa kazini, tunajisahao sana sijui kwanini hasa mtu akiwa maarufu.Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.
Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.
Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella
Toa maoni yako…
Hakuna materialist person mwenye akiba.Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,
Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndivyo utakavyoishi kesho,
Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,
Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,
Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.
Wanajidekeza tu yaani mtu anaomba msaada hajauza hata asset moja sijui wanaona hela za watanzania nizakuchota tu, sasa kaka huyu Fella amekua wa kuchangiwa vipi bibi zetu huko ushagoo?Vijana hapa kuna funzo kubwa sana,unapokua kwenye peak jaribu kua unajiwekea akiba au unainvest ili uje ujisaidie wewe mwenyewe huko mbeleni,
Maisha hubadilika,unavyoishi leo hakuna guaratee kua ndio utakavyoishi kesho,
Usitegemee misaada ya watu hata kama ni watoto wako,tegemea ulichokishika mkononi na usitegemee utakachokitafuta au utakacho kiomba kwa watu,
Kutoa ni moyo na sio utajiri,usijione umezungukwa na matajiri ukajua kua utakua safe hata huko mbeleni,misaada ni hiari na sio lazima na inategemea na moyo na imani ya mtu kukusaidia,
Comment yangu ni kukumbushana tu kwenye haya maisha,sina lengo baya lolote kwa mtu yeyote yule.
aseeYamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami.
Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa.
Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella
Toa maoni yako…