Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche2. Mhe. John Mnyika3. Hilda Newton4. Twaha Mwaipaya5. Board ya Wadhamini ya Chadema.Maombi hayo wanaomba Wajibu Maombi tajwa hapo juu Wakamatwe na Kuwekwa gerezani kuwa wamekiuka Amri ya Mahakama ya tarehe 10 June 2025.Wanadai kuwa mmekuwa mkihutubia vyombo vya habari, Kufanya Mikutano na Vikao Mbali mbali Kinyume na Amri hiyo”

kama waliamua kuondoka CHADEMA waliondoka, watulie waache chokochoko kwa wabaraSasa wao kinawauma nini....!!?
Hawa Wazanzibar wameamua kuwatesa Wabara haswa haswa.
Hawa wazanzibari wamepania kwelikweli kututawala.Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X
TAARIFA KWA UMMA
Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya
1. Mhe. John Heche
2. Mhe. John Mnyika
3. Hilda Newton
4. Twaha Mwaipaya
5. Board ya Wadhamini ya Chadema.
Maombi hayo wanaomba Wajibu Maombi tajwa hapo juu Wakamatwe na Kuwekwa gerezani kuwa wamekiuka Amri ya Mahakama ya tarehe 10 June 2025.
Wanadai kuwa wamekuwa wakihutubia vyombo vya habari, Kufanya Mikutano na Vikao mbalimbali Kinyume na Amri hiyo”
Pia soma
- Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14
Siyo "huenda"; ndivyo haswa ilivyo pangwa..sasa wakikamatwa watatekeleza vipi amri ya mahakama kuwasilisha nyaraka za fedha na mali za chama ambazo Said Mohamed na wenzake wanazidai?
..halafu Hilda Newton ndiye anayetoa habari za muenendo wa kesi ya uhaini dhidi ya TL. Kesi hiyo itaanza kusikilizwa wiki ijayo. Huenda Said Mohamed ni sehemu ya mkakati wa dola kuficha kinachoendelea mahakamani.
Siyo "huenda"; ndivyo haswa ilivyo pangwa
Usije kushangaa hii kesi ikawa ndiyo inawamaliza CHADEMA kama chama cha siasa. Miaka mitano yote kesi itakuwa mahakamani; na CHADEMA hawawezi kufanya shughuli za chama!
Mkuu wewe unaamini Hilda ndo anayetoa zile Updates ama Account yake inatumika tu kutoa update lengo likiwa ni kuwapoteza maboya? Maana hata zile typing siyo za Hilda kabisa..sasa wakikamatwa watatekeleza vipi amri ya mahakama kuwasilisha nyaraka za fedha na mali za chama ambazo Said Mohamed na wenzake wanazidai?
..halafu Hilda Newton ndiye anayetoa habari za muenendo wa kesi ya uhaini dhidi ya TL. Kesi hiyo itaanza kusikilizwa wiki ijayo. Huenda Said Mohamed ni sehemu ya mkakati wa dola kuficha kinachoendelea mahakamani.
Mkuu wewe unaamini Hilda ndo anayetoa zile Updates ama Account yake inatumika tu kutoa update lengo likiwa ni kuwapoteza maboya? Maana hata zile typing siyo za Hilda kabisa
Tanzania umeshazaliwa upinzani upya tofauti na huu uliopoSiyo "huenda"; ndivyo haswa ilivyo pangwa
Usije kushangaa hii kesi ikawa ndiyo inawamaliza CHADEMA kama chama cha siasa. Miaka mitano yote kesi itakuwa mahakamani; na CHADEMA hawawezi kufanya shughuli za chama!
Maelekezo hayo mkuu, kizimkazi anaihara sana chadema!!.Hawa jamaa mbona kama ni mpango maalumu wa kuiangamiza chadema. Kwa hiyo hawa bado ni wanachama wa chadema?
Ni..hata kama Hilda sio muandishi lakini account yake ndio inatumika bado ana mchango ktk kuuhabarisha umma.