Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Kuna muda huwa naona ni heri iwe mbwai tu na hawa wazanzibar vinginevyo watatugeuza watumwa ndani ya tanganyika yetu..Hawa wazanzibari wamepania kwelikweli kututawala.
Sijui itakuwaje iwapo Samia atapenyeza na kubaki madarakani kwa nguvu?
Hii imekuwa Znz tumuunge mkono mwenzetu dhidi ya waoAmeandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X
TAARIFA KWA UMMA
Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya
1. Mhe. John Heche
2. Mhe. John Mnyika
3. Hilda Newton
4. Twaha Mwaipaya
5. Board ya Wadhamini ya Chadema.
Maombi hayo wanaomba Wajibu Maombi tajwa hapo juu Wakamatwe na Kuwekwa gerezani kuwa wamekiuka Amri ya Mahakama ya tarehe 10 June 2025.
Wanadai kuwa wamekuwa wakihutubia vyombo vya habari, Kufanya Mikutano na Vikao mbalimbali Kinyume na Amri hiyo”
Pia soma
- Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14
Chadema inabidi tuwe serious? Huyu said issa hawezi bananishwa?Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X
TAARIFA KWA UMMA
Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya
1. Mhe. John Heche
2. Mhe. John Mnyika
3. Hilda Newton
4. Twaha Mwaipaya
5. Board ya Wadhamini ya Chadema.
Maombi hayo wanaomba Wajibu Maombi tajwa hapo juu Wakamatwe na Kuwekwa gerezani kuwa wamekiuka Amri ya Mahakama ya tarehe 10 June 2025.
Wanadai kuwa wamekuwa wakihutubia vyombo vya habari, Kufanya Mikutano na Vikao mbalimbali Kinyume na Amri hiyo”
Pia soma
- Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14
Mwasheria mkuu wa serikali , Hamza Johari - MzanzibariKuna muda huwa naona ni heri iwe mbwai tu na hawa wazanzibar vinginevyo watatugeuza watumwa ndani ya tanganyika yetu..
Kwa jinsi wanavyotamba na kutumia dola kutunyanyasa hapa kwetu, sidhani kama kuna mtu wa bara anaweza kwenda kutamba hivi huko kwao visiwani...!!
Tukishindwa kuikomboa Tanganyika mwaka huu, basi tutegemee kuona wazanzibar wakitupiga mpaka makofi mbele ya mahakama.
Wakisaidiwa na wabara waliokwenda shule.Sasa wao kinawauma nini....!!?
Hawa Wazanzibar wameamua kuwatesa Wabara haswa haswa.
Kumbe ulikuwa hujui? Lengo kukipandisha chauma, Zanzibar wanaharibu TanganyikaHawa jamaa mbona kama ni mpango maalumu wa kuiangamiza chadema. Kwa hiyo hawa bado ni wanachama wa chadema?
Mbowe aache ungese ,yenye kama anataka malinzake subira anyooke tu achukue au waingie makubaliano ya kulipa siyo hizi chokochoko kwa kuwatumia watu huku yeye akijificha nyuma yao .Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X
TAARIFA KWA UMMA
Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya
1. Mhe. John Heche
2. Mhe. John Mnyika
3. Hilda Newton
4. Twaha Mwaipaya
5. Board ya Wadhamini ya Chadema.
Maombi hayo wanaomba Wajibu Maombi tajwa hapo juu Wakamatwe na Kuwekwa gerezani kuwa wamekiuka Amri ya Mahakama ya tarehe 10 June 2025.
Wanadai kuwa wamekuwa wakihutubia vyombo vya habari, Kufanya Mikutano na Vikao mbalimbali Kinyume na Amri hiyo”
Pia soma
- Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14
Sasa si ni usenge huu?Mwasheria mkuu wa serikali , Hamza Johari - Mzanzibari
Mwanasheria mkuu wa Zanzibar Talib Mwinyi - Mzanzibari
Shaka Hamdu Shaka ni DC wa Kilosa ni mzanzibari, mtu wa bara sidhani hata anaweza kuongoza kule kwao wanaita Shehia.Sasa si ni usenge huu?
Watu walikuwa wanamlaumu Magu kipindi kile anateua watu kutoka kanda ya Ziwa, mara hoo anaendekeza ukanda... ila angalau walikuwa wazalendo.
Haya sasa leo hii chura kiziwi hana hata chembe ya aibu anateua wazanzibar mpaka kwenye positions ambazo zilipaswa kushikwa na watu wa bara?
Huku Nzega kuna DED mmoja mzanzibari na hajawahi hata kuishi huku bara kabla hajateuliwa kwenye hiyo position.
Wasomi wa bara ni wapumbav sana, nahisi hata Samia mwenyewe ameshawadharau sana.. maana ameshaona ni mabinafsi, yanapenda sana ufisadi, mavivu kufanya kazi na yako tayari kuliuza taifa kwa kwa hili tu yaishi maisha mazuri wao na familia zao.Wakisaidiwa na wabara waliokwenda shule.
Yale yale ya mpini kuisaidia shoka.
Ndio maana nasema huu muungano kwa namna yoyote ile inapaswa ufe... na jamaa walivyokuwa wa ovyo wanatuchukia kama niniShaka Hamdu Shaka ni DC wa Kilosa ni mzanzibari, mtu wa bara sidhani hata anaweza kuongoza kule kwao wanaita Shehia.
Tunayo mifano tele hata hapa Tanzania...chama ni watu, na itikadi, sio mali.
.." kushusha tanga na kupandisha " ni moja ya options.
Sijaelewa una maana gani!Tanzania umeshazaliwa upinzani upya tofauti na huu uliopo
Utampata wapi, huyo sasa hivi ni kama lulu inayolindwa kama mboni ya jicho!Chadema inabidi tuwe serious? Huyu said issa hawezi bananishwa?