GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

..CUF-Znz haikusambaratika, bali ilitafuta makazi mapya.

..CDM-Tanganyika nao hawana buni kuanza kufikiria hatua kama walizochukua wakina Maalim.
 
Kwanza hata huku makazini waislamu wa bara ndio marafiki zao.. sasa watu kama hao tuendelee kushikamana nao wa nini?
Niulize tu, kwa maana sijui jibu: hivi Zanzibar nako wapo chini ya BAKWATA?
Haya mambo hata tukiendelea kuogopa kuyazungumzia waziwazi, ukweli ni kwamba hatuwezi kuepuka athari zake.

Njia bora ni kuyaweka wazi bila ya kuogopa kuyazungumzia; hasa kwa viongozi wa kisiasa.
 
..CUF-Znz haikusambaratika, bali ilitafuta makazi mapya.

..CDM-Tanganyika nao hawana buni kuanza kufikiria hatua kama walizochukua wakina Maalim.
Wataanza kufikiria wapi; wakiwa gerezani?
MMkuu 'Joka', leo vipi tena!
'Ecology' ya Zanzibar na Tanganyika ni tofauti kabisa. Elewa msukumo uliokuwa nyuma ya CUF ulikuwa unatoka wapi? Hivi sasa unawaona ACT-Zanzibar wakiwa na joto hilo hilo?
 
Aiseee na mahakama itakubaliana na maombi yao. Kitu kinapaswa fanywa
 
Wataanza kufikiria wapi; wakiwa gerezani?
MMkuu 'Joka', leo vipi tena!
'Ecology' ya Zanzibar na Tanganyika ni tofauti kabisa. Elewa msukumo uliokuwa nyuma ya CUF ulikuwa unatoka wapi? Hivi sasa unawaona ACT-Zanzibar wakiwa na joto hilo hilo?

..ACT Znz wako na joto lilelile hawajapoa.

..kuepukana na huu ushe*nzi wa mahakama kutumika " kushusha tanga..." inaweza kuwa uamuzi sahihi.
 
..ACT Znz wako na joto lilelile hawajapoa.

..kuepukana na huu ushe*nzi wa mahakama kutumika " kushusha tanga..." inaweza kuwa uamuzi sahihi.
Inawezekana nimepoteza mwelekeo wa kisiasa huko visiwani; maana uamini wangu ni kuwa Othman Masoud Othman, kwa sasa hivi ni vigumu sana kumtofautisha na Lipumba wa CUF! Huenda nimepoteza umakini huko!

Huo mstari wa pili naona nimeshindwa kuuelewa. Ni upi "unaweza kuwa uamzi sahihi"?

CHADEMA wafanye nini sasa hivi ili "waepuke kushusha tanga"?

"Kushusha na kupandisha tanga ni moja ya options" ?

Washushe tanga sasa hivi; ili waweze kulipandisha baadae!!

Wanaweza kuanzisha chama kingine katika muda huo; na kuachana na jina?
 
Ndo huu unaouona leo hii huu ni upinzani mpya
Samahani, tunazungushana bure hapa. Utakuwa na matatizo makubwa ya kujieleza ili ueleweke unacho kusudia kukiwasilisha.
Eleza huo "upya wa upinzani" unavyo uona wewe ukoje?

Ni sababu zipi zinazo kufanya wewe uuone upinzani huu kuwa ni mpya?
 
BAKWATA-BARAZA LA KUSIMAMIA WAISLAMU TANZANIA(nafikiri niko sahihi na kama nimekosea basi sio sana)..

Bila shaka hata Zanzibar nao pia wako chini ya BAKWATA, pia napenda kujua reason ya wewe kuuliz swali hili

Kuhusu athari za hawa jamaa kuendekeza uislamu ziko wazi ila kwa bahati mbaya sana wengi wanazipuuza, yaan sisi tunawachukulia kama wenzetu ila wao hawajioni kama ni wenzet, na huwa hawafichi kabisa hili.

Kwa ufupi tu sisi huwa tunajipendekeza tu kwao.
 
Samahani, tunazungushana bure hapa. Utakuwa na matatizo makubwa ya kujieleza ili ueleweke unacho kusudia kukiwasilisha.
Eleza huo "upya wa upinzani" unavyo uona wewe ukoje?

Ni sababu zipi zinazo kufanya wewe uuone upinzani huu kuwa ni mpya?
Usiwe unapenda kutafuniwa kila kitu acha uvivu wa kufikiri mwenye macho aambiwi tazama
 
Hao ni Bata wa Mbowe wanasaidiana na Dola kutaka kuimaliza CDM.

Mbowe kumbe ni mtu wa hovyo namna hii - kosa ni yeye kupigwa live pale mlimani city. Useless person ever to the earth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…