Kilala Makusaro
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 688
- 382
Uliisaidia sana sanaa yetu mpaka hapa ilipofika. Mungu akuepushie adhabu ya kifo. RIP Mzee Small.
mkuu kwani makafiri ndiyo kina nani?
Aisee hawa jamaa wataisha sasa
Sijuwi nani atafuata hapo dah pole familia ya komredi small
kwa hiyo misiba ya wasanii wa kiislamu haifai kupiga dili.....?
Bongo muvi mwaka huu watapata sehemu za kuuza sura mpaka basi.
mkuu kwani makafiri ndiyo kina nani?
Nini kimekumba Tasnia ya Filamu..
R.I.P Mzee Small..
unapigaje dili mtu anakufa leo anazikwa leo au kesho. Dili zinapigwa kwenye misiba ya wagala na mbwembwe zenu zilizojaa bajeti za bia,mziki, mc,suti za maiti na majeneza ya dhahabu
Khaa!! Bangi mbaya sana. Wenzenu zamani tulikuwa tunavuta kwa kusudio maalum, kama kulima au kufanya kazi yeyote ngumu. Nyie siku hizi mnajivutiavutia tu ndiyo maana mnakuwa machizi:baby:walikubali kuisuport ccm sasa wacha wavune walichokipanda.