TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

Bwana ametoa na bwana ametwaa,jina lake litukuzwe.
 
Hakika kila nafsi itaonja mauti. Uoumzike kwa amani
 
mzee small alikuwa anaumwa muda sana aliomba pia msaada sana wa kutibiwa, utaskia michango ikatayo changishwa sasa.r.I.p.mzee small

Nakushukuru kwa kuliona hili.Natumai we we ulionesha mfano.
 
Pumzika kwa amani mzee Small na pole sana bi Chau
 
Pumzika kwa amani mzee wetu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Apemzike kwa amani! Pole sana Bibi nani vile aliyekuwa anaigiza nae!
 
msibamzeesmall13.jpg
 
Tanzania eeee nchi yangu eee nakupendaa eeee ndio maana nakulilia akitoka hapo sijui ataenda kupanda ndege ya kwenda nchi gani yarabi
 
Safiiiiiii,lazima kujumuika na wafiwa na wananchi wengine
 
Back
Top Bottom