Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kauli hiyo ya mwanamuziki huyo imepokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki pamoja na wadau wa sanaa mtandaoni. Wengi wamempongeza kwa msimamo wake wa kulinda uhai na kutokutoa mimba, huku wengine wakimsifu kwa ujasiri wake wa kuongea ukweli kuhusu changamoto za maisha bila kuogopa kukemewa au kuhukumiwa."Kila mtoto wangu ana baba yake. Changamoto zinazokuwa zinanikumba ni kwamba, sina mapenzi na wale watu ninaokuwa nao kwenye mahusiano. Lakini naona kutoa mimba wakati mimi ni msanii ambaye nilishaimba Melisa, Kaisiki, huwa ninavumilia. Ninajizalia mimi watoto sizalii mwanaume. Kwahiyo ninajikuta tayari nina watoto na wanaume tofauti tofauti," alisema Saida Karoli.
AaahaaaaWahuni siyo watu wazuri hata kidogo. Nilifikiri wapo kwenye siasa tu. Kumbe mpaka huku nako wamevamia!!!
Aaahaaa,dahKumbe naye anachambuliwa kama karanga.