Mistari yako miwili ya chini imesema kitu kikubwa sana. Tukae tu kimya mkuu manaa huwezi isifia mvua hivhiv😁😁Anatakiwa amshukuru sana kikwete na aliyekua IGP Saidi mwema baba mkwe wake. Lugumi ndio alikua supplier mkuu wa jeshi la Polisi wakati huo Kila unachokiona katika jeshi kaleta lugumi Tena wakati huo ndio nchi ipo uchi wanajichotea tu. Sasa Leo akitangaza hadharani anawaambia watanzania fanyeni kazi kwa bidii. Mimi ningekua lugumi ningekaa kimya ila pesa Ina ulimbukeni kama hautatuliza akili siwezi kumsema sana.
Mno kaka , nilikua na ka kampuni kangu ka mchongo 🤣 hizo mambo nazijua mno🤗pesa inaliwa na wengi na inachelewa pia. kuna jamaa yangu anasubiri hela ya Tarura huu tangu mwezi wa nne mpk sasa bado hajalipwa.
Hilo tako linachungulia unaliona lakn😇 huku koko naona wkendi unaweza shiba kwa kuangalia tu
Daaah, kama code znakuja tyar....lakn ni kweli walioko kwny mfumo ni balaa kabisaa......mengine tunayaona huku mtaani ni moto kabisaaa...alafu kuna kama ushindani sahv wa hizi mashine huko road ni balaaa kabisaaaKuna mtu yuko kwenye mfumo tena yuko front kwenye misafara ya mama(jina kapuni)
Anawavua watu balaa...
Ova
Kuwa na hela na jinsi ya kuzitumia kufurahisha moyo ni vitu viwili tofauti.Acha avimbe. Hiyo nyumba ameombwa na ubalozi flani aiachie kwa kodi ya usd 40,000 KWA MWEZI amekataa.Bado hakuna excuse YA ULIMBUKENI. Huyu pimbi bado hana hela na hajui ku-invest. Jamaa hajafika sekondari na alikuwa shoe shiner. Lazima avimbe sana
Mbka anamuoa huyo mtoto pia ina maana alikua yuko vzuri sio bureeKuna story niliwahi kuisikia kwamba alimuoa mtoto wa mkuu wa kaya (phase 4) ndo akaanzia kutobolea maisha hapo…., hivi ni kweli?! Na nilisikia kweli alikuwa shoe shiner baadae akawa dereva taxi 🤔
Oa kwa dingi kama yeye,michongo ya kula kwa urefu wa kamba iko wazi.Hmm.. huyu mtu anafanya shughuli gani? Hii hii michongo tunayofanya na sisi pia au kuna kingine
Pamoja na fresh air ya pale ufukweni Oysterbay.Wewe hata feni huna ila gari inakula kiyoyozi
NomaPamoja na fresh air ya pale ufukweni Oysterbay.
Mke na watoto wanaishi Canada ni muda sasa.Lugumi Kwa Sasa ana Hela..pale kwenye show room yake Kuna Gali kibao hazikuwemo..kama defender, Ranger....Na kawakeza Dubai,Canada..yupo vizuri sana
40k usd ni uchafu kwake 🤣🤣Kuwa na hela na jinsi ya kuzitumia kufurahisha moyo ni vitu viwili tofauti.Acha avimbe. Hiyo nyumba ameombwa na ubalozi flani aiachie kwa kodi ya usd 40,000 KWA MWEZI amekataa.
Vizuri kwenye game sio!Mbka anamuoa huyo mtoto pia ina maana alikua yuko vzuri sio buree
Kuonesha magari anayemiliki siyo ulimbukeniKama anamiliki G-Wagon na Bentley among his 'toys' ina maana senti zipo kwa sababu ukiachilia kuyanunua hata running costs kwa mganga njaa lazima mashine za hivyo aziuze.
Ila hundred percent ulimbukeni anao kwa sana tu, kitendo cha kuirekodi hiyo showoff scenario na kuirusha ni ulimbukeni.
Hawajui kuwa hizo ni kodi zao wahuni wamebadili kuwa Range roverWanakuja matakowazi wengine kusifia jizi
Anatakiwa amshukuru sana kikwete na aliyekua IGP Saidi mwema baba mkwe wake. Lugumi ndio alikua supplier mkuu wa jeshi la Polisi wakati huo Kila unachokiona katika jeshi kaleta lugumi Tena wakati huo ndio nchi ipo uchi wanajichotea tu. Sasa Leo akitangaza hadharani anawaambia watanzania fanyeni kazi kwa bidii. Mimi ningekua lugumi ningekaa kimya ila pesa Ina ulimbukeni kama hautatuliza akili siwezi kumsema sana.
Huyo ana rolls royce spectre ile ya kucharge na umeme sio poaMzee Lugumi umetishaa..umetuchangamsha haswa...ngoja Mama Angela Kiziga nae aje atoe video yake...
Siyo lazima uibeHivi itakuwaje kila Mtanzania. akiamua kuwa motivated na kutafuta pesa kwa njia haramu? Mana kwa sasa wale ambao tumemtanguliza Mungu hatutaki kuiba mali za Watanzania tunaonekana wajinga, halafu watumishi wa umma au wafanyabiashara wakifanya hujuma na kupata pesa zaidi ya shughuli zao halali ndio wanaonekana wajanja!
Noma sana halafu nchi ni yetu sote na kuna mgonjwa anakosa tshs 500 ya kununua panadol atulize maumivu40k usd ni uchafu kwake 🤣🤣