Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

TAfuta pesa mkuu ili watu wakiwa wanafurahia pesa zao kwa matoys kama hayo usione kama ni ulimbukeni au wanakuringishia, uone tu ni kama ambavyo wewe unavyopost tu ukiwa na ka samsung kako mezani ukisoma gazeti.
Bado hakuna excuse YA ULIMBUKENI. Huyu pimbi bado hana hela na hajui ku-invest. Jamaa hajafika sekondari na alikuwa shoe shiner. Lazima avimbe sana
 
Taja mwenye wimbo
 
Magufuli alikuwa mbaguzi katika ku deal na aliowaita mafisadi wala usilete topic yake hapa. Huyu Lugumi kwa vile ni msukuma mwenzie kama alivyotaka tumtambue mwenyewe hakuwahi kumtupa gerezani kama akina Mwaimu au Kitilya au Rugemalira. Alikuwa anamsema tu. Double standards tupu
 
Tafuta hela mkuu upunguze wivu. Acha kupangilia watu namna ya kuishi kila mtu ataishi muda aliopangiwa.
 
Hahaha yani mtu analipwa milioni 10 unataka atoe haki ya kesi ya BILLION 37?
Yani kwa kifupi, anaweza kutumia BILLIONI 1, kuwapoza wote wanao husika na hiyo kesi, na wakaridhika na kesi ikaisha kisheria na isifufuke tena.
Maisha dunia hii ni PESA, hata kule kwa MWAMPOSA wanafahamu hilo, yale maneno tulikuwa tunafundishwa kwamba PESA SIO KILA KITU, huwezi kuyasikia tena kwa sasa.
 
Ukiyapata utajua raha ya kuringishia.
Siupendi umasikini..
Huleta kutojiamini
Huleta chuki
 
Tafuta hela masikini wewe
 
Huyu alikubali kula na wenzake, hao wengine walikomaza shingo. Alimwaga pesa kuanzia kamati ya bunge, wabunge, mawaziri hadi Ikulu, bila kumsahau Dr.Shika.
Pesa ni sabuni ya roho, ilisafisha vinyongo na roho mbaya.
Walimkinga na walimuona mkombozi wao, walilipa hadi media zisimtaje, na tukamsahau.
 
Nimeona video ya masikini wakidiscuss magari ya tajiri mwenzangu said lugumi baada ya Mimi kumtembelea mara wanamuita limbukeni Sasa masikini wa humu Kwa njaa zao zinavyowapiga wanaona hasira zao wamalizie kumtukana tajiri mwenzangu Sasa napenda kuwaambia nyie mafukara tafuteni hela acheni ujinga yaani unakuta dume Zima linadiscuss Mali za mwanaume mwenzie tutawalia sana wake zenu
 
Kama hakuna sheria anayovunja sioni tatizo. Acha afurahie jasho lake. Mleta uzi elewa hadi ufike hiyo level risk ni nyingi. Pia mtu kama huyo hana uhuru hata wa kwenda kwa Mama Peruu kula msosi.. hapo ulinzi ndo kipaumbele chake cha kwanza. Watu kama hawa muda mwingi wanawindwa.
 
Ukimuona limbukeni ujue ni hasira zako za umaskini tu, pesa ni zake gari ni zake na kaamua kuonyesha mwenyewe , huo ulimbuken unakaa wapi , kama kuonyesha gari ni ulimbuken basi watu wasingekua wanatoka nazo barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…