Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Which include coming up with innuendos that they cant defend
Now this sounds semi-literate. All you have done in this thread is you have erected a strawman rather than engage with what people were actually saying: MEDIA ACCOUNTABILITY
Kitila Mkumbo nakubaliana na wewe na mengi uliyoyasema isipokuwa hilo la kuwa Game Theory asijaribu ku'dissude' watu wengine kuchangia.
Game Theory kama anaona hoja yake ina nguvu, na wengine anataka kutufungua macho, na afanye hivyo ilimradi iwe katika njia za kistaarabu.
na the same apply to Muafrika wa kike
kuchangiwa kwa mwanahalisi isiwe sababu ya kulifanya gazeti hili na lengine kuandika vitu ambavyo haviwezi kuvithibitisha.
mwandishi yoyote hatakiwi atuandikie what he thinks, or what the evidence seems to point at, linatakiwa kuandika kitu chenye ushahidi.
kama lilikuwa halina ushahidi juu ya ufisadi wa ROSTAM ni kosa lake kuandika jambo hilo.
tunaomba, suala kama hili lisirudiwe tena na mwanahalisi na gazeti jengine lolote lile, kwa vile watanzania hatutaki kujua anachodhani kubenea, tunataka kujua ushahidi unasema nini
Actually i just thought ROSTAM should get a fair trial by the courts of law and not print media such as MWANHALISI
Hoja hapa ni kwamba hakuna mtu aliyelazimishwa au kushawishiwa kuchangia; alichofanya Lunyungu na wengine ni kutoa taarifa kinachofanyika na kama kuna watu ambao wapo interested na hii course. Sasa katika sprit hiyo hiyo ya kutolazimishana, sioni kwa nini watu walazimishwe au washawishiwe kukataa kuchangia?
kwa hiyo hao mwanahalisi akishitakiwa atasema mie nime ripoti kama media nyengine!!
DUH!
Heshima mbele,
Mie Nashangaa watu wameaza kutambiaa badla ya kujibu Hoja iliyotolewa na Lunyugu,Naomba kuungana na allegetion zote zinazotolewa na GT hapo juu,cha msingi Kesi ismwe kwanza mahakamani na tutaangalia niin cha kufanya kuhusu hili.
mie nafikiri suala la busara litatumika kaika hili,tusubuirir tuone..tusiwe wa kwanaz akuanza kuchangia wakati suala liko ndio jikoni,
Tulishindwa kumuunga Mkono Mwanakijiji katika Kampeni za maalbino,iwe leo??..baadaye tuanawalaumuw anafunzi wa mlimani kwakushindwa kufanya jamba ambalo hapa Tumeshindwa.Tuwe tunaanzisha Michangao kwa Masuala megine yanayohusu maandeleo.
Rejea wakati Masha alipotaka kuwashitaki MWANAHALISI,Jk alimwambia aache tu kwa kuwa alijua ni changamoto katka siasa na lazima ukumbane nayo.
The same will happen to Rostam,Rostam anatingisah kiberiti ili watu wajue naye bado yuo but he will not go far as he kows what MWANAHILISI are doing.
Lunyungu na sh,mnaboa sana kwa kifupi,Kujibishana kama wwatu wasiojisheshima mnaivunjia heshima JF.
thibitisha kwambaMwanahalisi hawajaomba mchango ila wana JF wameamua kuchangia ili kumpata huyo mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata ambaye analindwa na serikali ya Kikwete - Rostam Azizi
Kitila there you are!.
under this circumstance which Mwanahalisi has found itself to be in, why should we think that Money is the first thing they lack most?. why not do the homework to find which kind of help they probably need without first coming to an idea of money contribution?
how do you know! perhaps they are much in need of the evidence which would help them in the court of the law, why not ask jf members for those who probably might have this sort of information/evidence to provide it as a help to them.
well we might like and appreciate something very much, but we reserve a right to be well informed of what is really required/needed before we perform our duties of deciding which steps to follow thenafter.
again if mwanahalisi has no money to deal with their case, let them come here and talk to us openly perhaps we might accept or reject their requests
Kitila Mkumbo, i dont Game Theory AKIMLAZIMISHA mtu kuchangia either.
ila sioni ubaya wa kusema maoni yake ya kuwa haoni sababu ya mwanahalisi kuhangiwa.
au thread hii ilitakiwa waje watu wanaotaka kuchangia tu, na wanaopinga wende sehemu nyengine kwa vile hatupo katika kushawishiana wala kulazimishana hapa ?
wamelikoroga na walinywe wasimsogezee mwenginewe
thibitisha kwamba
1:rostam aziz ni mwizi
2:Rostam aziz ni mkoloni
3:Rostam aziz ana uraia wenye utata
so far hakuna mamlaka yoyote ya kisheria palipohalalisha madai yako, kwa hivyo najiuliza unabase madai yako katika ushahidi upi?
GT: I think you are wrong in trying to dissuade JF members from supporting MwanaHalisi's case.
Again, I read a very personal grudge in your writings over mwanahaslisi. If this is true, then, I would strongly suggest that you find a separate audience with Kubenea to sort your issues out while leaving interested people to bail the Mwanahalisi in their case.
Otherwise, I strongly support your defence for the innocence of all the big shots who have been implicated in the said scandals so far, however immoral they may appear, until such a time that the competent courts of law will prove otherwise. This is the essence of the rule of law that we so much cherish and defend in this forum. Short of this, we shall very soon slip into the law of the jungle and, if that happens, we will cease to be a civilised people (if at all we are!).
Having said that, there is no doubt in every sane person's mind that the Rostams and the Chenges, though legally innocent, are politically guilt and, as such, their political persecution should not await a court verdict