Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Which include coming up with innuendos that they cant defend

You have shown more innuendos than what you can defend. Mwanahalisi is doing far more better than you a "critical thinker" in this case

Now this sounds semi-literate. All you have done in this thread is you have erected a strawman rather than engage with what people were actually saying: MEDIA ACCOUNTABILITY

Mhh ..

semi literate?
 
Kitila Mkumbo nakubaliana na wewe na mengi uliyoyasema isipokuwa hilo la kuwa Game Theory asijaribu ku'dissude' watu wengine kuchangia.

Game Theory kama anaona hoja yake ina nguvu, na wengine anataka kutufungua macho, na afanye hivyo ilimradi iwe katika njia za kistaarabu.
na the same apply to Muafrika wa kike

Hoja hapa ni kwamba hakuna mtu aliyelazimishwa au kushawishiwa kuchangia; alichofanya Lunyungu na wengine ni kutoa taarifa kinachofanyika na kama kuna watu ambao wapo interested na hii course. Sasa katika sprit hiyo hiyo ya kutolazimishana, sioni kwa nini watu walazimishwe au washawishiwe kukataa kuchangia?
 
kuchangiwa kwa mwanahalisi isiwe sababu ya kulifanya gazeti hili na lengine kuandika vitu ambavyo haviwezi kuvithibitisha.

mwandishi yoyote hatakiwi atuandikie what he thinks, or what the evidence seems to point at, linatakiwa kuandika kitu chenye ushahidi.
kama lilikuwa halina ushahidi juu ya ufisadi wa ROSTAM ni kosa lake kuandika jambo hilo.

tunaomba, suala kama hili lisirudiwe tena na mwanahalisi na gazeti jengine lolote lile, kwa vile watanzania hatutaki kujua anachodhani kubenea, tunataka kujua ushahidi unasema nini

Mwanahalisi wameripoti habari kama media yoyote ile. Hiyo ya kutaka kujua ushahidi unasema vipi ndiyo Kikwete na Six hawajataka ijulikane kwa wananchi.
 
kwa hiyo hao mwanahalisi akishitakiwa atasema mie nime ripoti kama media nyengine!!

DUH!
 
Hoja hapa ni kwamba hakuna mtu aliyelazimishwa au kushawishiwa kuchangia; alichofanya Lunyungu na wengine ni kutoa taarifa kinachofanyika na kama kuna watu ambao wapo interested na hii course. Sasa katika sprit hiyo hiyo ya kutolazimishana, sioni kwa nini watu walazimishwe au washawishiwe kukataa kuchangia?

Hilo ndilo swali kubwa sana Kitila!

Hakuna aliyelazimishwa kuchangia na pia hakuna anayelazimishwa kutochangia. So far michango inaendelea kumiminika tu kwa wale wasiopenda kutaja majina yao.

na mimi mchango wangu nimeuongeza mara dufu baada ya "critical thinker" kudai kuwa wanaomchangia Kubenea ni wachovu.

Kwa hili nitaitwa mchovu lakini mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata Rostam Azizi lazima aipate siku yake kwenye court of law na kwenye court of public opinion.
 
Heshima mbele,
Mie Nashangaa watu wameaza kutambiaa badala ya kujibu Hoja iliyotolewa na Lunyugu,Naomba kuungana na allegetion zote zinazotolewa na GT hapo juu,cha msingi Kesi ismwe kwanza mahakamani na tutaangalia niin cha kufanya kuhusu hili.

mie nafikiri suala la busara litatumika kaika hili,tusubuirir tuone..tusiwe wa kwanaz akuanza kuchangia wakati suala liko ndio jikoni,

Tulishindwa kumuunga Mkono Mwanakijiji katika Kampeni za maalbino,iwe leo??..baadaye tuanawalaumu wanafunzi wa mlimani kwa kushindwa kufanya jamba ambalo hapa Tumeshindwa.Tuwe tunaanzisha Michangao kwa Masuala megine yanayohusu maandeleo.

Rejea wakati Masha alipotaka kuwashitaki MWANAHALISI,Jk alimwambia aache tu kwa kuwa alijua ni changamoto katka siasa na lazima ukumbane nayo.

The same will happen to Rostam,Rostam anatingisah kiberiti ili watu wajue naye bado yuo but he will not go far as he kows what MWANAHILISI are doing.

Lunyungu na shy,mnaboa sana kwa kifupi,Kujibishana kama watu wasiojisheshima mnaivunjia heshima JF.
 
Kitila there you are!.

under this circumstance which Mwanahalisi has found itself to be in, why should we think that Money is the first thing they lack most?. why not do the homework to find which kind of help they probably need without first coming to an idea of money contribution?

how do you know! perhaps they are much in need of the evidence which would help them in the court of the law, why not ask jf members for those who probably might have this sort of information/evidence to provide it as a help to them.

well we might like and appreciate something very much, but we reserve a right to be well informed of what is really required/needed before we perform our duties of deciding which steps to follow thenafter.

again if mwanahalisi has no money to deal with their case, let them come here and talk to us openly perhaps we might accept or reject their requests
 
Kitila Mkumbo, i dont Game Theory AKIMLAZIMISHA mtu kuchangia either.

ila sioni ubaya wa kusema maoni yake ya kuwa haoni sababu ya mwanahalisi kuhangiwa.

au thread hii ilitakiwa waje watu wanaotaka kuchangia tu, na wanaopinga wende sehemu nyengine kwa vile hatupo katika kushawishiana wala kulazimishana hapa ?
 
kwa hiyo hao mwanahalisi akishitakiwa atasema mie nime ripoti kama media nyengine!!

DUH!

Hiyo si kazi yako kujua hapa defense ya mwanahalisi itakuwa vipi.

Kumbuka kuwa magazeti nyumbani yanatishiwa kushitakiwa kila siku. Alianza Kikwete na ile story ya kupewa pesa na wairani, akaja mkono, akaja chenge, akaja lowasa, kampuni la kifisadi la IMMA na fisadi mtoto Masha, na sasa mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata Rostam Azizi naye amefikiwa zamu yake.
 
Heshima mbele,
Mie Nashangaa watu wameaza kutambiaa badla ya kujibu Hoja iliyotolewa na Lunyugu,Naomba kuungana na allegetion zote zinazotolewa na GT hapo juu,cha msingi Kesi ismwe kwanza mahakamani na tutaangalia niin cha kufanya kuhusu hili.

mie nafikiri suala la busara litatumika kaika hili,tusubuirir tuone..tusiwe wa kwanaz akuanza kuchangia wakati suala liko ndio jikoni,

Tulishindwa kumuunga Mkono Mwanakijiji katika Kampeni za maalbino,iwe leo??..baadaye tuanawalaumuw anafunzi wa mlimani kwakushindwa kufanya jamba ambalo hapa Tumeshindwa.Tuwe tunaanzisha Michangao kwa Masuala megine yanayohusu maandeleo.

Rejea wakati Masha alipotaka kuwashitaki MWANAHALISI,Jk alimwambia aache tu kwa kuwa alijua ni changamoto katka siasa na lazima ukumbane nayo.

The same will happen to Rostam,Rostam anatingisah kiberiti ili watu wajue naye bado yuo but he will not go far as he kows what MWANAHILISI are doing.

Lunyungu na sh,mnaboa sana kwa kifupi,Kujibishana kama wwatu wasiojisheshima mnaivunjia heshima JF.

Mkuu Gembe,

watu wanachagua chochote kile wanachopenda kuchangia. wakati wewe unaweza kuchangia maalbino, kuna mwingine anaweza kutaka kuchangia watoto yatima.

Katika hii case nadhani ni vizuri tu wanaotaka kuchangia mwanahalisi defense fund wakafanya hivyo.
 
Mwanahalisi hawajaomba mchango ila wana JF wameamua kuchangia ili kumpata huyo mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata ambaye analindwa na serikali ya Kikwete - Rostam Azizi
thibitisha kwamba
1:rostam aziz ni mwizi
2:Rostam aziz ni mkoloni
3:Rostam aziz ana uraia wenye utata

so far hakuna mamlaka yoyote ya kisheria palipohalalisha madai yako, kwa hivyo najiuliza unabase madai yako katika ushahidi upi?
 
walipita wote hao na jee magazeti hayo yalichangiwa?

na tukishakuchanga na Rostam akifuta kesi jee? pesa yetu itakwenda wapi?

tunaomba kwanza kesi ifike inapofika, kisha mwanahalisi aje hapa atueleze shida yake kama anayo, kama hana shida yoyote, sijaona sababu bado ya kuchangia BLINDLY mwanahalisi.

wao ni wafanya biashara, na wamefuja kwenye biashara yao, i am sure wana means ya ku deal na suala hili, watakapojua hawana means, wataleta tatizo lao hapa na tutajadili cha kufanya
 
Kitila there you are!.

under this circumstance which Mwanahalisi has found itself to be in, why should we think that Money is the first thing they lack most?. why not do the homework to find which kind of help they probably need without first coming to an idea of money contribution?

how do you know! perhaps they are much in need of the evidence which would help them in the court of the law, why not ask jf members for those who probably might have this sort of information/evidence to provide it as a help to them.

Lawyers and experts will do that for them. For now, some pple think that Mwanahalisi need financial assistance and thats whassup here

well we might like and appreciate something very much, but we reserve a right to be well informed of what is really required/needed before we perform our duties of deciding which steps to follow thenafter.

again if mwanahalisi has no money to deal with their case, let them come here and talk to us openly perhaps we might accept or reject their requests

NO body says mwanahalisi has no money. Mwanahalisi is getting (note the present tense) our help coz we are returning favor for all the fights they have been taking on our behalf.
 
Kitila Mkumbo, i dont Game Theory AKIMLAZIMISHA mtu kuchangia either.

ila sioni ubaya wa kusema maoni yake ya kuwa haoni sababu ya mwanahalisi kuhangiwa.

au thread hii ilitakiwa waje watu wanaotaka kuchangia tu, na wanaopinga wende sehemu nyengine kwa vile hatupo katika kushawishiana wala kulazimishana hapa ?

Now you are talking. Na ni vizuri wapingaji kama nyie mmmekuwepo hapa ili pesa ziendelee kumiminika kwa attention kubwa mliyotoa
 
thibitisha kwamba
1:rostam aziz ni mwizi
2:Rostam aziz ni mkoloni
3:Rostam aziz ana uraia wenye utata

so far hakuna mamlaka yoyote ya kisheria palipohalalisha madai yako, kwa hivyo najiuliza unabase madai yako katika ushahidi upi?

So far hakuna mamlaka yoyote Tanzania iliyohalalisha vinginevyo!
 
anaechanga na achange, kesi ikifutwa asije kulalamika mtu arudishiwe dolar yake 20 tu.
 
GT: I think you are wrong in trying to dissuade JF members from supporting MwanaHalisi's case.

See this is the problem. Can you point out where i dissuade any JF member from supporting Mwanahalisi? All i am doing here is asking some questions on how did it come to this in the first place. Whatever happened to objective journalism?

But I suspect that the really interesting part would then come if you were to ask those at helm what their conscious intentions actually were, in terms of the effects they hoped to have on wider society. Would they aspire that young Tanzanians might be drawn to the educational, thought-provoking pages of the JAMBO FORUMS, in order to better their knowledge of current affairs, and give serious consideration to the major issues of the day; or would they instead prefer that this demographic should be driven more towards the completely xenophobic and thoroughly intolerant pages of Mwanahalisi?

What of earth would Freud make of it all? The conscious ambitions of the paper, and its true behaviour seem to be running in quite contrary directions! Perhaps less time spent at the sedate state of mind and more on the therapy couch might be required to tease out these awkward contradictions.

Again, I read a very personal grudge in your writings over mwanahaslisi. If this is true, then, I would strongly suggest that you find a separate audience with Kubenea to sort your issues out while leaving interested people to bail the Mwanahalisi in their case.

Wow...can you slow down abit, looks like you are jumping the bandwagon of those who want to judge me without reading my posts properly,I dislike exaggeration and doom-mongering by all newspapers, particularly the so-called serious ones who should know better, and find the tabloidisation of the broadsheet press a highly unfortunate phenomenon, yes.

I have never suggested that the ,GUARDIAN et al are not guilty of scare-mongering or pandering to their readers' prejudices, particularly in the opinion pieces: however, their coverage of straight news (as in "X said today that "...") is still, by and large, more or less fact-based, balanced and relatively restrained, something which cannot be said of any of the tabloids such as MWANAHALISI.

One can indeed condemn all newspapers for these faults. The point is not that no other newspapers are ever guilty of them, but the way the MWANAHALISI does it: as pointed out previously, it allegedly represents a politically correct p.o.v. but distorts the real debates to be had about the issues by cheap and nasty attacks which obscure the real questions.

The problem with the Mwanahalisi and its ilk is not that they "don't tell the correct truth in the correct way" but that they don't tell the truth at all. Or more precisely, nowhere near all of it. And they use the half-truths to stoke popular prejudice rather than inform. I don't think you could accuse any of the broadsheets of doing that to anywhere near the same degree.

And it's the degree which is important - no one pretends that any paper is 100% objective, but anyone intelligent can see that some make more effort than others to present more than one side of the argument.

Otherwise, I strongly support your defence for the innocence of all the big shots who have been implicated in the said scandals so far, however immoral they may appear, until such a time that the competent courts of law will prove otherwise. This is the essence of the rule of law that we so much cherish and defend in this forum. Short of this, we shall very soon slip into the law of the jungle and, if that happens, we will cease to be a civilised people (if at all we are!).

I agree with you on this point. Nuff said.

Having said that, there is no doubt in every sane person's mind that the Rostams and the Chenges, though legally innocent, are politically guilt and, as such, their political persecution should not await a court verdict

This is why KUBENEA and MWANAHALISI are in deep hot water with this pending case.
 
Back
Top Bottom