Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Nitajaribu kutafuta kujua ni nini kinaendelea kwenye hili. Tusubiri tuone wana nini Jumatano.
 
I am OFF inaonyesha umetumwa na RA pengine kwa kupewa muda wa maongezi wa vodacom

Please dont go..I am really enjoying kuonygea na wewe na bado nasubiri ushahidi wa MWANAHALISI kuwa LIBYA iligharamia uvamizi wa Tanzania kule Comoro

Sijatumwa na mtu ila nimegundua kuwa tatizo lako you kuwa wewe kama huyo KUBENEA na timu nzima ya editoria ya MWANAHALISI hamuwezi ku think think critically, reason rationally, check the evidence, or recognize logical fallacy.

Kisha unakuja JF ambako unakutana na watu ambao ukileta habari wana examine the evidence, wana detect fallacy and dismissing the validity of misinformation, misrepresentation, distortion, exaggeration, prevarication, equivocation, logical fallacy, ridicule, treachery calumny and lies ambazo ndio nguzo za MWANAHALISI
 
ndio maana nasema kuwa inabidi tuwe makini sana tunapomsema mtu fulani ni fisadi au la. Mahakama ikishaweight up ushahidi ndio tutajua ..hili nakuunga mkono

Mimi naita ufisadi kwa jina lake na wala sisubiri mahakama yoyote kuniambia kuwa chenge na rostam azizi ni mafisadi. Kile walichoandika mwanahalisi mwezi september mwaka jana leo hii kimethibitika kuwa kweli.

Wewe endelea tu kusubiria mahakama kwenye hili ingawa pia unasahau kuwa Kikwete naserikali yake hawajapeleka yeyote yule mahakamani kwa ufisadi.

La hasha naona hukunielewa nilikuwa ninamaanisha kuwa mafisadi hawakuanzia leo..kwani tangu enzi za Nyerere walikwepo ndani ya serikali yake, je inamaana nyerere naye ni fisadi? maana inaweza kumewa kuwa inawezekana naye alikuwa ni guilty by association ...ndio maana nataka sana hapa sheria ifuate mkondo wake badla ya kuwa label watu mafisadi huku tukiwa hatuna ushahidi wa kuthibitisha hayo

Sheria inafuata mkondo wake na ndicho kinaendelea hapa JF. Kuwafukua mafisadi ambao wanajificha nyuma ya serikali ambayo haina bollz za kuwashitaki na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.

Headlines za mwanahalisi

Then hapa hakuna issue, na nina wasi wasi wakitokea ma street lawyers wanaweza hata kuishitaki JF on behalf of mtu kama Rostm kwa slander...maana soko moko alisema wazi kuwa Rostam ni fisadi mla rushwa badala ya kutumia neno allegedly ..hiyo ni tatizo and it says alot about our media

na mimi nasubiri kwa ham hiyo kesi kama hao ma prosecutors watafanya hivyo

Wewe kama unaogopa kuwa JF itashitakiwa na hao mastreet lawyers basi unaweza kuacha kujihusisha na JF ili usijekushitakiwa.
 
Nilidhani haya maswali yako yalipata majibu kwenye thread ya comoro uliyoanzisha? au ndiyo yale yale ya kutaka kuzima issue ya mchango kwa mwanahalisi na kubenea?

Kubenea kadai kuwa LIBYA ililipia gharama za vita kule COMORO sasa nimeona we should keep the records straight kwa kumuuliza maswali ambayo national paper kama mwanhalisi lingeweza kutupatia majibu

nothing wrong with that
 
Please dont go..I am really enjoying kuonygea na wewe na bado nasubiri ushahidi wa MWANAHALISI kuwa LIBYA iligharamia uvamizi wa Tanzania kule Comoro

Sijatumwa na mtu ila nimegundua kuwa tatizo lako you kuwa wewe kama huyo KUBENEA na timu nzima ya editoria ya MWANAHALISI hamuwezi ku think think critically, reason rationally, check the evidence, or recognize logical fallacy.

Kisha unakuja JF ambako unakutana na watu ambao ukileta habari wana examine the evidence, wana detect fallacy and dismissing the validity of misinformation, misrepresentation, distortion, exaggeration, prevarication, equivocation, logical fallacy, ridicule, treachery calumny and lies ambazo ndio nguzo za MWANAHALISI

Hata wewe GT so far arguments zako zimejaa uongo na udaku kuwa Kubenea alipewa pesa na Lowasa. TUmia the same standard ya JF ili uache udaku maana huwa huendi this low!
 
Kubenea kadai kuwa LIBYA ililipia gharama za vita kule COMORO sasa nimeona we should keep the records straight kwa kumuuliza maswali ambayo national paper kama mwanhalisi lingeweza kutupatia majibu

nothing wrong with that

Sidhani kama sokomoko ni mwanahalisi!
 
Nitajaribu kutafuta kujua ni nini kinaendelea kwenye hili. Tusubiri tuone wana nini Jumatano.

Dont hold your breath, hatokuwa na jipya zaidi ya kujitetea na mwishowe kuomba watu wawasaidie kwenye kesi. Says alot about that rag na editorial zake.Naamini by ijumaa watataka kumalizana nje ya mahakama.

Wewe kama unaogopa kuwa JF itashitakiwa na hao mastreet lawyers basi unaweza kuacha kujihusisha na JF ili usijekushitakiwa.

GT- nadhani alikuwa akitutahadharisha na lugha itumikayo...nadhani lugha zinginezo zinawapa mwanya mafisadi
 
Nitajaribu kutafuta kujua ni nini kinaendelea kwenye hili. Tusubiri tuone wana nini Jumatano.

Nadhani mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata Rostam Aziz alikuwa anajaribu kutisha nyau na sasa amefungua mlango mwingine wa kuanika uozo wake!

Hata hivyo wale wanaopenda kuchangia defense ya Kubenea wajiandae kufanya hivyo bila kujali viroja vya kina chinga na wenzake kujaribu kuzuia hili zoezi.
 
Dont hold your breath, hatokuwa na jipya zaidi ya kujitetea na mwishowe kuomba watu wawasaidie kwenye kesi. Says alot about that rag na editorial zake.Naamini by ijumaa watataka kumalizana nje ya mahakama.

Rostam ndiye labda atataka kumaliza nje ya mahakama. Rostam hana ubavu wa kwenda mahakamani unless kama anataka file lake la namna alivyopata passport ya Tanzania lije wazi.
 
Rostam ndiye labda atataka kumaliza nje ya mahakama. Rostam hana ubavu wa kwenda mahakamani unless kama anataka file lake la namna alivyopata passport ya Tanzania lije wazi.

Surely you should be able to distinguish the difference between imagination and reality.
 
Kuna mambo si worth kuelezea, Vitendo vya kubenea vinaonyesha otherwise. For this wewe ndio unaonekana mwongo na mwenye udaku.

hapa tulikuwa tunamsema chinga kwa kuwaita wenzie majina mabaya, na wewe ulikuwa unampinga. Sasa inakuwaje na wewe unafanya yale yale? jibu hoja kwa hoja(namnukuu mwanakijiji) sio kwa bad words
 
Surely you should be able to distinguish the difference between imagination and reality.

Katika hili GT,

Nitaomba mimi na wewe kufuatilia hii space ili ionekane kuwa kati ya watanzania na Rostam Azizi nani atablink first.

Meanwhile endelea kuchangia pesa kwenye legal defense ya mwanahalisi.
 
hapa tulikuwa tunamsema chinga kwa kuwaita wenzie majina mabaya, na wewe ulikuwa unampinga. Sasa inakuwaje na wewe unafanya yale yale? jibu hoja kwa hoja(namnukuu mwanakijiji) sio kwa bad words

mtu mwenye kusema habari ambazo si za kweli mnamwita vipi huko kwenu? au kwenu huko mwongo ni tusi?
 
Katika hili GT,

Nitaomba mimi na wewe kufuatilia hii space ili ionekane kuwa kati ya watanzania na Rostam Azizi nani atablink first.

Meanwhile endelea kuchangia pesa kwenye legal defense ya mwanahalisi.

Contradiction is a lower degree of intelligence--Kahlil Gibran
 
mtu mwenye kusema habari ambazo si za kweli mnamwita vipi huko kwenu? au kwenu huko mwongo ni tusi?

tena tusi kubwa sana pale unapokuwa huna uhakika (kuwa mtu ni mwongo, muuaji na so forth. Refer maana ya tusi kwenye kamusi yako kama unayo). Je huko kwenu kumwambia mtu mdaku ni sawa tu?
 
Back
Top Bottom