Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Nitajaribu kutafuta kujua ni nini kinaendelea kwenye hili. Tusubiri tuone wana nini Jumatano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am OFF inaonyesha umetumwa na RA pengine kwa kupewa muda wa maongezi wa vodacom
ndio maana nasema kuwa inabidi tuwe makini sana tunapomsema mtu fulani ni fisadi au la. Mahakama ikishaweight up ushahidi ndio tutajua ..hili nakuunga mkono
La hasha naona hukunielewa nilikuwa ninamaanisha kuwa mafisadi hawakuanzia leo..kwani tangu enzi za Nyerere walikwepo ndani ya serikali yake, je inamaana nyerere naye ni fisadi? maana inaweza kumewa kuwa inawezekana naye alikuwa ni guilty by association ...ndio maana nataka sana hapa sheria ifuate mkondo wake badla ya kuwa label watu mafisadi huku tukiwa hatuna ushahidi wa kuthibitisha hayo
Headlines za mwanahalisi
Then hapa hakuna issue, na nina wasi wasi wakitokea ma street lawyers wanaweza hata kuishitaki JF on behalf of mtu kama Rostm kwa slander...maana soko moko alisema wazi kuwa Rostam ni fisadi mla rushwa badala ya kutumia neno allegedly ..hiyo ni tatizo and it says alot about our media
na mimi nasubiri kwa ham hiyo kesi kama hao ma prosecutors watafanya hivyo
Nilidhani haya maswali yako yalipata majibu kwenye thread ya comoro uliyoanzisha? au ndiyo yale yale ya kutaka kuzima issue ya mchango kwa mwanahalisi na kubenea?
Please dont go..I am really enjoying kuonygea na wewe na bado nasubiri ushahidi wa MWANAHALISI kuwa LIBYA iligharamia uvamizi wa Tanzania kule Comoro
Sijatumwa na mtu ila nimegundua kuwa tatizo lako you kuwa wewe kama huyo KUBENEA na timu nzima ya editoria ya MWANAHALISI hamuwezi ku think think critically, reason rationally, check the evidence, or recognize logical fallacy.
Kisha unakuja JF ambako unakutana na watu ambao ukileta habari wana examine the evidence, wana detect fallacy and dismissing the validity of misinformation, misrepresentation, distortion, exaggeration, prevarication, equivocation, logical fallacy, ridicule, treachery calumny and lies ambazo ndio nguzo za MWANAHALISI
Kubenea kadai kuwa LIBYA ililipia gharama za vita kule COMORO sasa nimeona we should keep the records straight kwa kumuuliza maswali ambayo national paper kama mwanhalisi lingeweza kutupatia majibu
nothing wrong with that
Nitajaribu kutafuta kujua ni nini kinaendelea kwenye hili. Tusubiri tuone wana nini Jumatano.
Hata wewe GT so far arguments zako zimejaa uongo na udaku kuwa Kubenea alipewa pesa na Lowasa. TUmia the same standard ya JF ili uache udaku maana huwa huendi this low!
Wewe kama unaogopa kuwa JF itashitakiwa na hao mastreet lawyers basi unaweza kuacha kujihusisha na JF ili usijekushitakiwa.
Nitajaribu kutafuta kujua ni nini kinaendelea kwenye hili. Tusubiri tuone wana nini Jumatano.
Mwenyewe hajakataa kama alikuwa yuko kwenye payroll
Kuna mambo si worth kuelezea, Vitendo vya kubenea vinaonyesha otherwise. For this wewe ndio unaonekana mwongo na mwenye udaku.
Dont hold your breath, hatokuwa na jipya zaidi ya kujitetea na mwishowe kuomba watu wawasaidie kwenye kesi. Says alot about that rag na editorial zake.Naamini by ijumaa watataka kumalizana nje ya mahakama.
Ohh really?
how so?
Rostam ndiye labda atataka kumaliza nje ya mahakama. Rostam hana ubavu wa kwenda mahakamani unless kama anataka file lake la namna alivyopata passport ya Tanzania lije wazi.
Kuna mambo si worth kuelezea, Vitendo vya kubenea vinaonyesha otherwise. For this wewe ndio unaonekana mwongo na mwenye udaku.
Surely you should be able to distinguish the difference between imagination and reality.
hapa tulikuwa tunamsema chinga kwa kuwaita wenzie majina mabaya, na wewe ulikuwa unampinga. Sasa inakuwaje na wewe unafanya yale yale? jibu hoja kwa hoja(namnukuu mwanakijiji) sio kwa bad words
Katika hili GT,
Nitaomba mimi na wewe kufuatilia hii space ili ionekane kuwa kati ya watanzania na Rostam Azizi nani atablink first.
Meanwhile endelea kuchangia pesa kwenye legal defense ya mwanahalisi.
mtu mwenye kusema habari ambazo si za kweli mnamwita vipi huko kwenu? au kwenu huko mwongo ni tusi?