Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

So far namkubali GT kwenye systematic approach to arguments. Wengi huku wako kama parrots ambao huishia na maneno, "uraia wa mashaka na ukoloni", without any evidence. Mimi binafsi simzimii RA lakini ukweli unabikia pale pale...JF isiongozwe na spinning. JF iongozwe kwa HOJA zenye ushahidi.

Kuna hoja nyingi hapa ambazo watu hujaribu kutulazimisha tuzikubali kwa sababu ya records zao za posts. Mfano ilikuwa picha za nyumba iliyolazimishwa kuwa ya RA huko nyuma. Ubishi ulikuwa mkubwa huku wengine wakiapa na kulazimisha lakini ukweli ulipotoka hakuna aliyekubali makosa. Wengine walituambia kuhusu ndoa ambayo ilikuwa uongo vilevile lakini hakuna aliyechukua responsibility ya kuspread false information to us.

Sasa kwenye suala la KUBENEA/MWANAHALISI VS RA ni suala ambalo limekwenda mahakani. Naamini kama huyu Kubenea amekuwa akipractise responsible and accountable journalism basi hana sababu ya kuogopa chochote kwani ushahidi anao!

Michango inayohitajika hapa ni ya extra evidence na approach to defence na sio pesa. Pesa ya nini?! Haya ni mapambano ya kifikra na sio mapambano ya pesa.
 
hapa tulikuwa tunamsema chinga kwa kuwaita wenzie majina mabaya, na wewe ulikuwa unampinga. Sasa inakuwaje na wewe unafanya yale yale? jibu hoja kwa hoja(namnukuu mwanakijiji) sio kwa bad words

Hii forum iko one-sided. Yule aliyefungiwa alikuwa anatukanana na wenzie humu, hakuwa peke yake. Na hata yule mkuu aliyetumiwa PM ya matusi nae alikuwa ana endorse malumbano hapa kwa kutoa thanks kwa upande fulani. Haku stay above the fray. Kwani hatuoni kinacho endelea hapa. Na mkuu anajua uzito wake hapa, ndio maana kasema 'it comes with the territory alipo elezea bifu yake na aliye fungiwa!
 
tena tusi kubwa sana pale unapokuwa huna uhakika (kuwa mtu ni mwongo, muuaji na so forth. Refer maana ya tusi kwenye kamusi yako kama unayo). Je huko kwenu kumwambia mtu mdaku ni sawa tu?

Nadhani hata wewe una muda mzuri sana wa kufanya hivyo hapa!
 
GAME THEORY u r very wrong na nina mashaka na taarifa zako! Tanzania hakutoa senti tano nyekundu kupeleka majeshi comoro ni Gadafi na Italy ndio waliogharamia!

Mkuu nakuomba uje hapa

Utanisaidia sana kuna mtu mpaka leo nabishana naye kuhusiana na hayo malipo.

Hiyo kesi aliyofungua RA, wameshawataarifu Mwanahalisi au ndio basi tu RA alikuwa anatishia?
 
So far namkubali GT kwenye systematic approach to arguments. Wengi huku wako kama parrots ambao huishia na maneno, "uraia wa mashaka na ukoloni", without any evidence. Mimi binafsi simzimii RA lakini ukweli unabikia pale pale...JF isiongozwe na spinning. JF iongozwe kwa HOJA zenye ushahidi.

Mhh "insurgent" karibu tena JF maana naona huwa unatokea nyakati kama hizi.

Kuna hoja nyingi hapa ambazo watu hujaribu kutulazimisha tuzikubali kwa sababu ya records zao za posts. Mfano ilikuwa picha za nyumba iliyolazimishwa kuwa ya RA huko nyuma. Ubishi ulikuwa mkubwa huku wengine wakiapa na kulazimisha lakini ukweli ulipotoka hakuna aliyekubali makosa. Wengine walituambia kuhusu ndoa ambayo ilikuwa uongo vilevile lakini hakuna aliyechukua responsibility ya kuspread false information to us.

Sikujua kama siku hizi unalazimishwa kukubali chochote katika umri huu na freedom yote hii.

Sasa kwenye suala la KUBENEA/MWANAHALISI VS RA ni suala ambalo limekwenda mahakani. Naamini kama huyu Kubenea amekuwa akipractise responsible and accountable journalism basi hana sababu ya kuogopa chochote kwani ushahidi anao!

Michango inayohitajika hapa ni ya extra evidence na approach to defence na sio pesa. Pesa ya nini?! Haya ni mapambano ya kifikra na sio mapambano ya pesa.

Sidhani kama Kubenea anaogopa chochote zaidi ya kuomba achangiwe ili apambane na mtu anayelipwa mabilioni na serikali ya Kikwete
 
Hii forum iko one-sided. Yule aliyefungiwa alikuwa anatukanana na wenzie humu, hakuwa peke yake. Na hata yule mkuu aliyetumiwa PM ya matusi nae alikuwa ana endorse malumbano hapa kwa kutoa thanks kwa upande fulani. Haku stay above the fray. Kwani hatuoni kinacho endelea hapa. Na mkuu anajua uzito wake hapa, ndio maana kasema 'it comes with the territory alipo elezea bifu yake na aliye fungiwa!

ulitaka nimshukuru aliyenitukana? ama.. au nisingekuwa na upande kati ya anayenitukana na anayenitetea? sijakuelewa. Au una maana nilitakiwa niwe neutral kwa sababu mimi ndiye ninayetukanwa?
 
I think we all are missing a point here.

RA kwenda mahakamni nia na madhumuni sio kushtaki mwanahalisi bali ameona the ship is sinking fast na kuna mafisadi wengine ndani ya closet ambao hawajasikika na walikuwa nae kwenye jahazi moja.

Anachukua fursa hii ku snitch the rest of the mob
 
Mhh "insurgent" karibu tena JF maana naona huwa unatokea nyakati kama hizi.

Nyakati zipi? Can you be more specific?

Sikujua kama siku hizi unalazimishwa kukubali chochote katika umri huu na freedom yote hii.

That is the point! Can try but will succeed?

Sidhani kama Kubenea anaogopa chochote zaidi ya kuomba achangiwe ili apambane na mtu anayelipwa mabilioni na serikali ya Kikwete

Since when JF is scared of monies?

You can surely do better than this...
 
So far namkubali GT kwenye systematic approach to arguments. Wengi huku wako kama parrots ambao huishia na maneno, "uraia wa mashaka na ukoloni", without any evidence. Mimi binafsi simzimii RA lakini ukweli unabikia pale pale...JF isiongozwe na spinning. JF iongozwe kwa HOJA zenye ushahidi.

Kuna hoja nyingi hapa ambazo watu hujaribu kutulazimisha tuzikubali kwa sababu ya records zao za posts. Mfano ilikuwa picha za nyumba iliyolazimishwa kuwa ya RA huko nyuma. Ubishi ulikuwa mkubwa huku wengine wakiapa na kulazimisha lakini ukweli ulipotoka hakuna aliyekubali makosa. Wengine walituambia kuhusu ndoa ambayo ilikuwa uongo vilevile lakini hakuna aliyechukua responsibility ya kuspread false information to us.

Sasa kwenye suala la KUBENEA/MWANAHALISI VS RA ni suala ambalo limekwenda mahakani. Naamini kama huyu Kubenea amekuwa akipractise responsible and accountable journalism basi hana sababu ya kuogopa chochote kwani ushahidi anao!

Michango inayohitajika hapa ni ya extra evidence na approach to defence na sio pesa. Pesa ya nini?! Haya ni mapambano ya kifikra na sio mapambano ya pesa.

Labda ni michango ya pesa za kulipia mawakili wazuri wa kwenda kumwaga hizo hoja na fikra zitakazoandaliwa. Kwani michango ya nini? Kiasi gani? Kwanini asiombwe my man Tundu Lissu akaenda kumsambaratisha Fisadi Rostam Aziz?

Asha
 
That is a good point also, if your man will be ready.
 
Labda ni michango ya pesa za kulipia mawakili wazuri wa kwenda kumwaga hizo hoja na fikra zitakazoandaliwa. Kwani michango ya nini? Kiasi gani? Kwanini asiombwe my man Tundu Lissu akaenda kumsambaratisha Fisadi Rostam Aziz?

Asha

with a light touch ;-)

Wazo zuri KUMUOMBA Tundu Lissu. Hivi KUOMBAOMBA si ndio tunakokushambulia kila siku? Hili Gazeti halina mwanasheria wake?
 
Back
Top Bottom