Insurgent
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 469
- 19
So far namkubali GT kwenye systematic approach to arguments. Wengi huku wako kama parrots ambao huishia na maneno, "uraia wa mashaka na ukoloni", without any evidence. Mimi binafsi simzimii RA lakini ukweli unabikia pale pale...JF isiongozwe na spinning. JF iongozwe kwa HOJA zenye ushahidi.
Kuna hoja nyingi hapa ambazo watu hujaribu kutulazimisha tuzikubali kwa sababu ya records zao za posts. Mfano ilikuwa picha za nyumba iliyolazimishwa kuwa ya RA huko nyuma. Ubishi ulikuwa mkubwa huku wengine wakiapa na kulazimisha lakini ukweli ulipotoka hakuna aliyekubali makosa. Wengine walituambia kuhusu ndoa ambayo ilikuwa uongo vilevile lakini hakuna aliyechukua responsibility ya kuspread false information to us.
Sasa kwenye suala la KUBENEA/MWANAHALISI VS RA ni suala ambalo limekwenda mahakani. Naamini kama huyu Kubenea amekuwa akipractise responsible and accountable journalism basi hana sababu ya kuogopa chochote kwani ushahidi anao!
Michango inayohitajika hapa ni ya extra evidence na approach to defence na sio pesa. Pesa ya nini?! Haya ni mapambano ya kifikra na sio mapambano ya pesa.