Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

=sokomoko;185766]Kuhusu jibu la Majeshi kwenda Commoro nadhani Mwafrika wa Kike amekujibu na isitoshe hapa sio sehemu yake.

Mimi nilikuwa naongea na wewe na si Mwafrika wa Kike kwenye issue ya COMORO.Kama si mahala pake kwa nini uliropoka kuwa pesa zilitolewa na Libya au ndio attention seeking?

Hivi kati ya MwanaHalisi na JF na Mtanzania/Habari Corp na MwanaHalisi nani anae dismissing the validity of misinformation, misrepresentation, distortion, exaggeration, prevarication, equivocation, logical fallacy, ridicule, treachery calumny and lies

Both are bad but Mwanahalisi is by far the most TOXIC! The ideal MWANAHALISI story, intends to leave anyone reading it leave you hating someone or something -sometimes i wonder if this were MWANAHALISI'S a mission statement, and if it was then it shows remarkable consistency.The anger it stirs requires no action, no moral or intellectual effort, but simply confirms existing prejudices. Its victims are judged before they are given a chance to defend themselves and yes i think its a rag that we can do without.

Watu hao ni wengi lakini tunamshukuru Mungu wameshindwa kutudhibiti tulio na nia nzuri kwa taifa letu. Sisi tunasukumwa na uzalendo wao wanasukumwa na mafisadi kuzidi kulididimiza taifa letu utadhani wao hawaishi katika hii nchi.

Another misguided Patriotism rant.

M
alumbano hayana maana hoja iliyombele yetu ni kumsadia Saed Kubenea na MwanaHalisi. Ikiwa mtu hataki halazimishwi. Utachangia ukijisikia na kama mtu hajisikii kuchangia asijaribu kudivert mada maana hapa mada ni Kumsaidia Saed Kubenea na MwanaHalisi

It amazes me that for quite a few people, the Mwanahalisi is their main source of news on the world. Possibly an explanation for why they cant think critically.

The bottomline is this Mwanahalisi rag is a hateful, unconstructive, bigoted paper for hateful, unconstructive, bigoted people.Surely, JF members have better charities to give their money than this little twisted rag under the name of MWANAHALISI

mada sio dismissing the validity of misinformation, misrepresentation, distortion, exaggeration, prevarication, equivocation, logical fallacy, ridicule, treachery calumny and lies.

You cant come up with any thing new than quoting the same words i wrote before..this says alot about your journalistic standards. Not saying that RAI et al are better but in my opinion if MWANAHALISI were a car, it would be a VW Beattle, navy blue or green, stuck in the middle lane doing 60, not using mirrors, oblivious to reality while everyone else is forced to undertake/overtake/beep/flash. And of course, completely unable to reverse safely.

A joke: how do you confuse a Mwanahalisi reader?

Tell them KUBENEA (their alleged adulterous journalist) was on LOWASSA'S payroll...
 
du cjapata ona thread iliyojaa viroja kama hii in a long time, but anyways, mkuu GT, Hatuwezi kuzuia hisia zetu katika kuwahukumu rostam na crooks wenzake, watu wote hao waliopo tanzania kwanini tuwatuhumu wao tu, ni ukweli kuwa ahukumiye atahukumiwa, but kwenye ukweli uongo hujitenga na ukweli ushadhihirika what more evidence do u need to convince u kuwa hawa watu ndio wanatusababishia machungu zaidi ya maisha? si rahisi kuzuia hisia zetu katika hili, pls let us deal with them accordingly! and let us enjoy calling them fisadis, its suit them because that what they really are!

haikatazwi watu kuonyesha emotions lakini pia usisahau kuwa we need to think critically and analytically kabla ya kuanza kubwabwaja kama forums zingine. Leo mimi siwezi kumwita mtu ni FISADI kwa sababu Mwanahalisi limesema eti ni fisadi. Kama hatutokuwa na rule of law then whats the whole point ya kungangania watu wapelekwe mahakamani?

That said, I still believe Mwanahalisi/Kubenea are in the wrong forum kuomba misaada. You slander people, you get sued. Its taht simple. Halafu you don't have to be a trendy latte-swilling JF member, Masaki living type to hate the Mwanahalisi, do you? It's a much more universal feeling than that - except for the poor brainwashed sheep who buy the damn thing hata kama ni shilingi 300. Lets face it, its just a horrible, paranoid, pessimistic paper.

How can people enjoy reading such hatred and anger every day? When did people stop believing that it was healthy to look on the bright side?

Nyie,

Kubenea amerudi India kwa matibabu, kutokana na ile tindikali aliyomwagiwa na makuwadi na mashankupe wa ufisadi!

Pili, MwanaHalisi wana uongozi kamilifu. Mwenye uwezo aende pale kuonana nao kuwashauri wafungue akaunti, kisha sisi tuweke michango yetu moja kwa moja benki. Hakuna kingine.

Ohhhh hold on and slow down playa, unamaana gani SISI? sema wewe maana unaposema sisi unakosea. Mwanahalisi wanaye mwanasheria na Insurance wanayo sasa SISI inagiaje kwenye balaa lao? Its their mess and they should sort it out.
 
haikatazwi watu kuonyesha emotions lakini pia usisahau kuwa we need to think critically and analytically kabla ya kuanza kubwabwaja kama forums zingine. Leo mimi siwezi kumwita mtu ni FISADI kwa sababu Mwanahalisi limesema eti ni fisadi. Kama hatutokuwa na rule of law then whats the whole point ya kungangania watu wapelekwe mahakamani?

That said, I still believe Mwanahalisi/Kubenea are in the wrong forum kuomba misaada. You slander people, you get sued. Its taht simple. Halafu you don't have to be a trendy latte-swilling JF member, Masaki living type to hate the Mwanahalisi, do you? It's a much more universal feeling than that - except for the poor brainwashed sheep who buy the damn thing hata kama ni shilingi 300. Lets face it, its just a horrible, paranoid, pessimistic paper.

How can people enjoy reading such hatred and anger every day? When did people stop believing that it was healthy to look on the bright side?
kwa taarifa tu, mie cjawahi ku purchase hata copy moja ya mwanahalisi, and i started pay attention to it when bwana kubenea was attacked, lakini i appreciate what he's doing kuyaanika yale ambayo nilikuwa nayafuatilizia kwenye jf kwa wananchi wengi zaidi coz not everybody has access to internet, i dont care what kubenea motive's are as long as what he writes make sense and it is the truth, i will support him, because believe me you, mamaparoko will always stand for the truth, it is non of my business kuwa lowassa alimpa nini au alitembea na mke wa nani lakini kazi ni moja tu KUMKOMA NYANI GILEDI!
 
Hapa kuna mambo kadhaa

As a JF member unanishangaza sana unaposema kuwa "I dont care about Kubenea's motives"

Of course everyone is free to read whatever newspaper they want. However, remember the saying, "You are what you eat".

Try to visualise information as food for the mind. If you feed your mind paranoia, bigotry and prejudice, what do you think it's going to turn you into?

Like it or not, the Mwanahalisi represents the fast food end of the paper press in Tanzania. Next to no intelligent analysis, no broadening of horizons, and no attempt to report events without bashing someone or something.

Eating burgers, chicken & chips everyday and drinking Coke at each meal will most probably make you obese.

Treating the Mwanahalisi as your main source of news will do the same thing to your mind - make it fat, slow, sluggish and incapable of performing to it's full potential.

If you MUST read a "NAPIGA VITA UFISADI" paper, do your mind (and the rest of us who have to share the planet with you) a favour and read the JAMBO FORUMS
 
GT,

Sijaona sehemu yoyote ukilazimishwa kuchangia pesa kwa ajili ya mwanahalisi.

hoja zingine nitakujibu muda si mrefu!

.................................
 
WILL YOU CHOOSE TO IGNORE THE TRUTH JUST BECAUSE KUBENEA IS THE ONE WHO IS TELLING IT? THAT IS WHAT I MEANT, ALWAYS SIMAMIA UKWELI NA HAKI KAMA KUNA INJUSTICE YOYOTE LAZIMA TUI POINT OUT,
intelligent analysis, no broadening of horizons, and no attempt to report events without bashing someone or something.
SIMPLY THE TRUTH!
 
If you MUST read a "NAPIGA VITA UFISADI" paper, do your mind (and the rest of us who have to share the planet with you) a favour and read the JAMBO FORUMS
THERE IS NO SUCH A THING AS NAPIGA UFISADI NEWSPAPER BALI KUNA WAANDISHI WALIOCHAGUA KUONGEA UKWELI NAO HAPA JF WATAPEWA SUPPORT YA HALI NA MALI!
 
GT,

Sijaona sehemu yoyote ukilazimishwa kuchangia pesa kwa ajili ya mwanahalisi.

hoja zingine nitakujibu muda si mrefu!

.................................

I am just expressing my opinions and reasons why i wont give a single penny to this rag that treat its readers like they are cretins.

After all we are in JAMBO FORUMS WHERE WE DARE TALK OPENLY
 
WILL YOU CHOOSE TO IGNORE THE TRUTH JUST BECAUSE KUBENEA IS THE ONE WHO IS TELLING IT? THAT IS WHAT I MEANT, ALWAYS SIMAMIA UKWELI NA HAKI KAMA KUNA INJUSTICE YOYOTE LAZIMA TUI POINT OUT,
SIMPLY THE TRUTH!

How do we know if its the truth? where is the evidence to support it? Ever heard rule of law? The only societies that last for a significant time are those that require accountability by a system of law (or traditions that have the effect of law). Such societies expect everyone to meet common standards of behavior or face punishment.

Law defines obligations (what is right) and unacceptable behavior (what is wrong) for civilized societies..I believe Tanzania is one of them. Its not up to KUBENEA or MWANAHALISI to decide on our behalf but we do have courts of law to do that by looking at arguments from both sides.
 
THERE IS NO SUCH A THING AS NAPIGA UFISADI NEWSPAPER BALI KUNA WAANDISHI WALIOCHAGUA KUONGEA UKWELI NAO HAPA JF WATAPEWA SUPPORT YA HALI NA MALI!

You are insulting JF members intelligence! do you seriously hope you can get away with this without any hard questions from members?

The first post in this thread was rubbish, a giant back slap to remind us all how bloody clever and enlightened we are for being JF members.

PS: And now for the obligatory tedious personal disclaimer. I don't read the Mwanahalisi.
 
quite hot in here uh?

I see?.. i'm sure truth will always prevail!
 
GT,

Sijaona sehemu yoyote ukilazimishwa kuchangia pesa kwa ajili ya mwanahalisi.

hoja zingine nitakujibu muda si mrefu!

.................................

Kaka GT, usilazimishe watu wakubaliane na hoja zako....wewe usichange na tutaheshimu uamuzi wako....wengine tunadhani lazima tusaidie Mwanahalisi na Kubenea basi acha longo longo zingine hazisaidii kitu

Ushi
 
Mimi nadhani sasa imetosha kuleta ubishi usio kuwa na sababu .Mama Paroko umesema vyema sana .Maombi ya kusaidia nimetoa mimi .Mimi si Zitto wala kubena ila nimejisikia kama alivyosema Mama Paroko .JF hapa tumeanza kutoa habari kibao ambazo Kubenea usef pia kufanya uchunguzi na baadaye kuandika .Naamini Kubenea anasoma hapa ama washikaji zake .Leo kusema ni personal business asisaidiwe hainingii akilini.Kubena anafanay kile JF tunafanya .We stick online Kubenea anauza nje .

Mambo mengine bwana .Kuna mtu mwenye ushahidi wa Kubenea na pesa za Lowasa ? Weka hapa tuone na hapo tutazidi kuamini kwamba Ufisadi wa Lowasa ni wa kiwango kikubwa .GT uliyajua haya lini na kwa nini hukusema hadi unakuja kusema sasa ?

Naomba tu wale wenye nia njema kukaa mkao wa kutoa msaada .Hizi ni harakati .Katika wengi kuna mengi.Kuna Chinga , GT na wengine wengi twende nao .Ujumbe umekuja hapa na sasa ukiamua kuchanga sawa na kama ukisema hutaki unakaa pembeni na wengine tuna endelea .Hata wakati wa Mkoloni mwalikuwa alikuwa na watu wa ajabu katika movement za kuikomboa Tanzania siwezi kushangaa leo mwaka 2008 mgongano wa mawazo ukakosekana .
 
I am not forcing anyone and if so please pass me the evidence. I merely stating my case against what i see as none sense mwanahalisi bowl going around JF. I havent as far as I can remember, asked for the MWANAHALISI to be banned. No one has denied the right of newspapers to print what they like, within the limits of the law. But i object turning JF members into a charity that bails our failed rags like Mwanahalisi
 
Hata yule uliye kuwa unamshukuru alikuwa anarusha low-blows. Ulipokuwa una mu endorse, you got right in the muck. Nilikuwa nasubiri nione kama uta stay above the fray, ningefurahi sana.

Definition yako ya fray ni ipi?

Naomba nitumie ka mfano ka siasa za Marekani. Wagombea huwa wanalazimika kufukuza supporters ambao wanatumia mbinu zisizo pendeza. Mama Clinton alimfukuza Mama Feraro, Obama aliji distance na Mchungaji, na McCain alimkana yule radio personality wa Ohio aliye muita Obama Huseni. Najua unanielewa vizuri.

Ulishatoa hukumu kuwa forum haiko balanced so unategemea nini!

Ki ufupi niliku hold kwenye higher standards kama ambavyo mwenyewe umesema 'it comes with the territory.' Bahati mbaya hukupanda kwenye hicho kiwango. Natumaini hawa moderators wame consider mchango wako wa siku zote, na wame kuchukulia kama Statesman of the JF Nation. Lakini usikatae kwamba supporters wako wameharibu, ikiwa ni pamoja na kuingiza dini kwenye thread isiyo yenyewe. Ahsante.

Nani amesema kuwa kuna wasemaji wa JF hapa? supporters wameharibu vipi kama wewe husemi kilichoharibika!
 
inasikitisha sana kuona mafisadi wamefanikiwa kuingia kwenye JF, lakini wanaonekana kuwa low sana naona IQ zao ni chini ya 70. Sijawahi kusikia kuwa tusi ni hoja, na kwa kuwa hoja inajibiwa kwa hoja yenye nguvu, hoja isiyo na hoja inaachwa iende tu!

Mafisadi waliingia hapa kuanzia siku ya kwanza ila hawa wa sasa moto unawachoma zaidi na wanakuwa desperate. Hawatapewa bureki mpaka siku wakiacha kuua watoto wachanga na wamama wajawazito wanaokosa huduma za afya huku viongozi wa ccm wakijitajirisha na vijisenti.
 
Mimi nadhani sasa imetosha kuleta ubishi usio kuwa na sababu .Mama Paroko umesema vyema sana .Maombi ya kusaidia nimetoa mimi .Mimi si Zitto wala kubena ila nimejisikia kama alivyosema Mama Paroko .JF hapa tumeanza kutoa habari kibao ambazo Kubenea usef pia kufanya uchunguzi na baadaye kuandika .Naamini Kubenea anasoma hapa ama washikaji zake .Leo kusema ni personal business asisaidiwe hainingii akilini.Kubena anafanay kile JF tunafanya .We stick online Kubenea anauza nje .

Mambo mengine bwana .Kuna mtu mwenye ushahidi wa Kubenea na pesa za Lowasa ? Weka hapa tuone na hapo tutazidi kuamini kwamba Ufisadi wa Lowasa ni wa kiwango kikubwa .GT uliyajua haya lini na kwa nini hukusema hadi unakuja kusema sasa ?

Naomba tu wale wenye nia njema kukaa mkao wa kutoa msaada .Hizi ni harakati .Katika wengi kuna mengi.Kuna Chinga , GT na wengine wengi twende nao .Ujumbe umekuja hapa na sasa ukiamua kuchanga sawa na kama ukisema hutaki unakaa pembeni na wengine tuna endelea .Hata wakati wa Mkoloni mwalikuwa alikuwa na watu wa ajabu katika movement za kuikomboa Tanzania siwezi kushangaa leo mwaka 2008 mgongano wa mawazo ukakosekana .

This is a good start. But JF members are not as dumb as some here wants us to believe. Nothing wrong with asking questions, KUBENEA et al knew what would come when they decided to write what they wrote without having any meaningful funds to support themselves.

As such, I can't see much hypocrisy in pointing out MWANAHALISI's shortcomings. Hypocrisy is the accusation of something of which one pretends to be immune: as far as I can see no one has pretended to such immunity.

What has been criticised is MWANAHALISI's tendency to doom-mongering, hyperbole, to infantilise debate (where it permits one), to uninformed judgement, and to its own hypocrisy where it condemns one week what it has bigged up the previous one: running scare stories about "fisadi mkuu JK" in good times while asking for the same JK'S govt for mediacl assistance to India etc.

I find it strange that of the points you responded to from my original post , none of my actual criticisms were addressed: namely factual inaccuracy, recycled stories and so on. Instead you go off on one about freedom of expression, a right which no one, least of all me, has contested.

I also find it bizarre that you assume that everyone commenting hereon JF is dumb as MWANAHALISI readers.In any case, a balanced consumer of news would read a variety of sources. You and some here mightcorrectly point out that MMWANAHALISI readers may well do so: but some sources are better than others (i.e. more accurate and factual, less opinionated and biased). I am not talking about the comment pieces but the basic, factual, news reporting itself. In this respect almost any broadsheet is better than almost any tabloid - using the yardstick of quantity and accuracy of information and minimal editorial bias.

The intrusion of overt bias into ordinary "factual" reporting in the MWANAHALISI and other tabloids is a disincentive to critical thought and finding out more from other sources (why bother when my newspaper has already told me what to think?), unless you happen to be inclined that way already, and/or already consult other, better sources, in which case why would you be reading a mid-market tabloid with little factual content MWANAHALISI?? For the horoscope, perhaps.
 
Nadhani ifikie wakati ieleweke hapa kuwa michango inayochangiwa na wana JF ni kwa ajili ya maendeleo ya umma. Nakubaliana kabisa na suala la kumchangia Kubenea na Mwanahalisi kwa kuwa tu ni yeye peke yake amekuwa na uthubutu wa kuweka masuala makubwa yanayochangiwa humu (ni ya ukweli)katika print media. Kitu ambacho kilikuwa kinaogopwa na print &electronic media nyingi.

Suala la kuanza kutukanana kama 'mmoja' anavyotaka kufanya ni kuishiwa hoja na upofu wa akili. Michango kwa maana halisi haimaanishi pesa kama 'mpuuzi' anavyotaka kutuaminisha, michango hata ya mawazo(ambayo haihitaji CPA na mtu ambaye anaweza kuwa deported)ambayo inajenga.

Kumchukia MM ni sawa na kumchukia mtu anayekuambia ukweli

'MKANYE MJINGA AKUCHUKIE'Seleman Msindi aka Afande Sele
 
Back
Top Bottom