Saido Ntibanzokiza vs Benard Morisson, Manara alikuwa sahihi. Yanga tuna shida

Bila mayele na yule kipa wetu hakuna yanga,ukweli usemwe
 
Unamfananiaha Morrison na Ntibazonkiza?. Kwa ntiba yuleeee au kuna mwingine?
 
Sasa hivi ni mmoja tu huyo mwingine ameshawehuka eti anasema wanaolalamikia ugumu wa maisha ni wanafiki

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
So mlitaka muwapige 10??muwage na huruma jamani
 
Hii tabia inahamahama...alikuwa nayo Sakho amepunguza imezidi kwa Tiba
Tatizo hela,kila mtu anataka aweke tu,sakho naue mwishoni akapiga mikasi kibao wale mabeki warefu akati phiri alikuwa peke ake na lazima angefunga tu,jana kaliniudhi sana japo kamepunguza sku hizi
 
Aaah we jamaa kumbe upo?

Aisee jana sijakusoma kabisa baada ya mechi na staki kujua sababu
Alitupongeza kibabe na Uzi wake upo..ila anisamehe tu akishinda nitampongeza pia ila kwa sababu ya wenzie huko wasielewa michezo wakifungwa nitampa pole na kuwazomea
 
Alitupongeza kibabe na Uzi wake upo..ila anisamehe tu akishinda nitampongeza pia ila kwa sababu ya wenzie huko wasielewa michezo wakifungwa nitampa pole na kuwazomea
Mi sijamuona tangu jana
 
Swali ni je baada ya kuondoka Saido kaacha pengo kwenye namba aliyokuwa anacheza?
 
Aaah we jamaa kumbe upo?

Aisee jana sijakusoma kabisa baada ya mechi na staki kujua sababu
Mimi ni mwana michezo sina wivu. Huu ni uzi wangu wa jana baada ya mechi ya Simba kuisha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…