mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #21
Bila mayele na yule kipa wetu hakuna yanga,ukweli usemweKwani kuna kilichopungua kwa kutokuwepo saido? Timu aishindi? Au mnatafuta kichaka baada ya kushiba makande? Nani kawaambia yanga inatetereka ata asipokuwepo mchezaji mmoja?
Nani kakwambia yanga ina mchezaji muhimu? Mchezaji muhimu ndani ya yanga ni Timu nzima na sio mtu mmoja, ayo mambo ya kumtegemea mchezaji mmoja yako makolo uko acha wenge wewe