chuganian
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,067
- 1,109
ngoja nikajifiche[emoji124]Nakuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nikajifiche[emoji124]Nakuona
ukimtwanga demu mimba utaongeza stress mara milioniHeading inahusika,
Nasikiasikia wanasayansi wanasema kufanya mapenzi mara kwa mara kunapunguza stress na maumivu ya kichwa.
Hii kweli jamani tujuzane manake nna stress mbaya hapa nilipo natafuta dawa ya asili ya kuondoa stress.
Aiseebado sijaelewa
ngoja nitafute karatsi ya kuandikia sumary[emoji4]
Hili ni jambo la secondary kabisa,... Maana badala ya kupunguza ndo utazimia kabisa. [emoji1] [emoji1] [emoji1]mkuu ni kweli but usipate dem anae omba pesa utadata kaka
Aaaaa ndugu, sasa si uje!Ooooh huwa nasikia sikia kitu km hicho
Mwenyewe Nina stress hadi natamani kupiga makelele
Huyo ni me
Mkuu time will tell [emoji23] [emoji23] [emoji23]sitakiiiii[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Jaman mm nilipata mpnz tukawa tunapeana hamu kwenye cm hadi cku akaja toka mbeya nikaenda kumpojea airport tukaenda hoter moja ya kifahari sana sijawah kwenda, tukala tukanywa kila ninachotaka nilipewa ikafika tukachukua chumba lakin nilichokikuta nikaona mezan kaushaweka KY na mafuta mazuri huwa nayaona wanapaka kwenye video za X,kwakweli nilishtuka sana toka nizaliwe sijawah kutumia hivyo vitu lakin nikasema ngoja nione anataka tufanye nn baadae naona anataka kunipaka na yy apake harafu aanze kunifanya nyuma huku akisema nimpe kila kitu nae atanipa ninachotaka kiukweli kwa hela anazo sana, lakin alivyoniambia habari ya nyuma nilikataa na sikutaka anipe chochote sabb mm nilimpenda tuwe wapenzi sio sbb ya hela zake, na tokea hapo nilipokataa hadi sasa hataki kunitafuta nikimpigia cm hapokei,
Of kozi, kwani kinyume na hayoUnamaanisha malavi davi nayojua mie au [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha wewe upo?Aaaaa ndugu, sasa si uje!
Nipo mkuu, karibu sanaHa ha wewe upo?
Nilidhani umekufa
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sasa kutakua amna maana ya kifungo c umemskia ckuile magu kakazia magereza waongeze adhabu na shuluba kuleOf kozi, kwani kinyume na hayo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu huyo MTU damu zangu na zake haziendani aiseeeSasa kutakua amna maana ya kifungo c umemskia ckuile magu kakazia magereza waongeze adhabu na shuluba kule
Mnh hyo mara kwa mara na kukonda vipi????Heading inahusika,
Nasikiasikia wanasayansi wanasema kufanya mapenzi mara kwa mara kunapunguza stress na maumivu ya kichwa.
Hii kweli jamani tujuzane manake nna stress mbaya hapa nilipo natafuta dawa ya asili ya kuondoa stress.
Mim pia nipo grupu tofautiMkuu huyo MTU damu zangu na zake haziendani aiseee
ngoja nisubiriMkuu time will tell [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AntmagufuliMim pia nipo grupu tofauti