Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Itakuwa ni kweli mkuu. Nakumbuka nilichukua likizo ndefu ya kufanya mapenzi kwa muda wa miaka 9 nikawa mtu wa kuumwa kichwa wakati wote, mwili mzito, mkali na mwenye wasiwasi usio na sababu wakati wote ila siku nilipokutana na mwanamke siku moja tu mambo yakawa tofauti yaani nikapona na kuwa mchangamfu na makini katika kazi zangu za kila siku.
 
kwani "ngono" ni nini?
Haelewi huyo. Kufanya mapenzi ni matendo yote ya kimahaba mfano kubusiana, kunyonyana sehemu mbali mbali za mwili kama matiti, sehemu za siri nk, kuambizana maneno matamu ya kimahaba na pia "kufanya ngono". Kwa hiyo kufanya ngono ni sehemu ya mapenzi iwe katika ndoa au nje ya ndoa.
 
Jibu la swali lako ni ndiyo na hapana kwa wakati huo huo...

Iko namna hiyo kwasababu mfano,ili dawa ya kutibu maradhi yoyote inahitaji na mazingira rafiki ili iweze kufanya kazi yake.Mtu akiwa na afya mbovu dawa zitakuwa na wakati mgumu sana wa kufanya kazi yake ipaswavyo au mtu akiwa hali chakula vizuri dawa zinakuwa kwenye mazingira magumu ya kufanya kazi yake ipaswavyo hivyo kupelekea either kutokufanya kazi au kufanya chini ya kiwango....

Suala hili ambalo umeliuliza linafanana na hilo la madawa.Ili ngono iweze kukuondolea msongo wa mawazo inahitaji mazingira rafiki kama vile kutokuwa na wasiwasi wowote wakati wa ufanyaji ngono kama vile maradhi au kufumaniwa,kufanya ngono na mtu unayemkubali kwa maana ya kukuvutia n.k,mazingira yasipokuwa rafiki utaishia kuwaona wale wanaosema kuwa ngono inaondoa msongo wa mawazo kuwa ni waongo wakati siyo kweli....

Kwa maana hii,ili uweze kufurahia jambo hili ni vyema ukahakikisha unafanya ngono katika mazingira rafiki kama nilivyosema hapo juu....
 
Haelewi huyo. Kufanya mapenzi ni matendo yote ya kimahaba mfano kubusiana, kunyonyana sehemu mbali mbali za mwili kama matiti, sehemu za siri nk, kuambizana maneno matamu ya kimahaba na pia "kufanya ngono". Kwa hiyo kufanya ngono ni sehemu ya mapenzi iwe katika ndoa au nje ya ndoa.
watu wameliweka neno ngono sehemu hasi tu, kumbe hawajui kuwa hata wanandoa wanafanya ngono zembe
 
Heading inahusika,

Nasikiasikia wanasayansi wanasema kufanya mapenzi mara kwa mara kunapunguza stress na maumivu ya kichwa.

Hii kweli jamani tujuzane manake nna stress mbaya hapa nilipo natafuta dawa ya asili ya kuondoa stress.
Tatzo co ngono ishu ni uyo patrner wa kua nae ndo anaweza kukutoa stress na vilevile uyouyo patna wa kufanya nae ngono anaeza zidisha ukubwa wa stress mala 400 akili zakupewa changanya na zako [emoji362]
 
Kinachoondoa stress sio ngono bali kupendwa. Ni vitu viwili tofauti kabisa. Unadhani ukifanya ngono na mtu anayekudai pesa stress itapungua? Never. Medically it is called T L C (tender loving care) ambayo wala sio lazima iwe na ngono japo hiyo hukamilisha issue nzima
 
Eiyer,
Kwny mazingira salama apo umenikumbusha kitu jamaa aliopoa aga dem alale nae kufika ndan jamaa cha kwanza kakunjwa shat na dem anamwambia nipe changu kwanza jamaa anamwambia c nakupa dem akawa aelewi kamuuliza we ndezi utatoa hutoi ilibid atoe ata kusex hakusex hamu yote ilimuisha hata jogoo hakuwika mpk anaondoka kwny mtanange [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Heading inahusika,

Nasikiasikia wanasayansi wanasema kufanya mapenzi mara kwa mara kunapunguza stress na maumivu ya kichwa.

Hii kweli jamani tujuzane manake nna stress mbaya hapa nilipo natafuta dawa ya asili ya kuondoa stress.
Ni kweli, ila tafuta mzuri. Akiwa mkeo ni bora zaidi. Kama pozeo, usiache kutumia Ndomu.
 
Back
Top Bottom