Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Stress = force/area.(newton/m square)

Basing on that, stress is inversely proportional to area. So if you want to reduce stress then increase your area, how?

Toka nje ...jumuika na watu..cheza michezo upendayo...i can assure you stress itapungua!!!
 
Mengine magumu aisee usiombe,

kwa mfano umefungwa kwa kosa lakusingiziwa , hapo nikwenda na msongo wa mawazo hadi mwisho …
 
Aisee saikoljia ngumu sana sio rahisi hivyo, yan una msongo wa mawazo ulale kwanza unaweza usipate hata tone la usingizi pili kitanda unachokilalia kinaweza geuka kuwa kaa la moto! Achana na matatizo. Ila ndio hivyo
 
1.Pitia picha zako zako za zamani kidogo, Picha za tukio moja wapo lililokufurahisha au za mtu mwingine yeyote wa karibu yako!

2.Fungua madirisha na kuruhusu mwanga na hewa kupita kwa kiasi kikubwa. Epuka kukaa sehemu yenye mwanga mdogo kwani hufanya hali yako ya uchovu au stress kuwa juu zaidi.

3. Imba huku unaoga! Sio lazima uwe muimbaji mahiri bali chagua tu wimbo wako unaoupenda, imba kwa namna yeyote huku ukiendelea kuoga

4. Epuka kubaki mpweke. Tafuta mtu yeyote uongee nae (hata mtoto mdogo) itakusaidia kupunguza mawazo au uchovu

5. Sikiliza muziki au mpigie simu rafiki yako mliyepotezana muda mrefu.

6. Fanya Mazoezi (japo kwa dakika moja)

7.Badilisha Mazingira, Mfano kama unapita njia hiyohiyo moja kutoka kazini/shule, badilisha na upite nyingine.

8. Fanya utafiti wa kijinga kwa kuwaangalia wapita njia na kutoa kasoro zao kimavazi, muonekano wao bila ya wao kujua.

9. Nenda Saluni kunyoa/kuosha/kusuka nywele zako.

10. Chukua kalamu na karatasi, anza kujifunza kuchora!
 
Dawa ni kuokoka tusidanganyane at least unakuwa na hope na amani sasa ukiangalia movie ikiisha unarud palepale halikadhalika music..kama mkristo au mwislamu dawa n kuomba Mungu utapata Amani sana hizo nyingine ni vi_sub ant stress tu hakuna amani kuu kama ya Mungu..kuomba kwa sana
 
Umeelewa swali kweli mpendwa?mm mwenyewe nimeokoka. Haimaanishibukiokoka ndo umefika mbinguni bado upo duniani so stress ni sehemu ya maisha hata kama umeokoka. So pls tuchangie vzr mada.
 
Dawa ni kuokoka tusidanganyane at least unakuwa na hope na amani sasa ukiangalia movie ikiisha unarud palepale halikadhalika music..kama mkristo au mwislamu dawa n kuomba Mungu utapata Amani sana hizo nyingine ni vi_sub ant stress tu hakuna amani kuu kama ya Mungu..kuomba kwa sana

Umesomeka ila haimaanishi kuwa hizo tips zinakupelekea kutenda maovu..hapana ni kwa maisha ya kawaida tu na haina uhusiano na dhambi..ieleweke
 
Back
Top Bottom