Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Heading inahusika,

Nasikiasikia wanasayansi wanasema kufanya mapenzi mara kwa mara kunapunguza stress na maumivu ya kichwa.

Hii kweli jamani tujuzane manake nna stress mbaya hapa nilipo natafuta dawa ya asili ya kuondoa stress.
ukimtwanga demu mimba utaongeza stress mara milioni
 
mkuu ni kweli but usipate dem anae omba pesa utadata kaka
Hili ni jambo la secondary kabisa,... Maana badala ya kupunguza ndo utazimia kabisa. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwa hiyo sasa hivi umebadili msimamo wako na uko tayari kumpa mlango wa mavi?
 
Heading inahusika,

Nasikiasikia wanasayansi wanasema kufanya mapenzi mara kwa mara kunapunguza stress na maumivu ya kichwa.

Hii kweli jamani tujuzane manake nna stress mbaya hapa nilipo natafuta dawa ya asili ya kuondoa stress.
Mnh hyo mara kwa mara na kukonda vipi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…