Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Mkuu pitia hapa kwenye huu uzi upate kujifunza pia
Njia za kuondoa msongo wa mawazo na uchovu
Njia za kuondoa msongo wa mawazo na uchovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikitokea umechoka kutembea, kuangalia muvi na music unafanya nini kingine?Mi napenda kutembea alone, kutazama movie, and music.
Nalia[emoji16] [emoji16] [emoji16]Ikitokea umechoka kutembea, kuangalia muvi na music unafanya nini kingine?
Napenda hii kitu lakini nikiwa katika normal situation.WWE watching
Vp Wakuu
Leo tupeane mbinu ambazo tunatumia pindi tunapo kua na mawazo mengi ya MAISHA/MAPENZI
mimi binafsi ninapokua na stres huwa sijites
Naingia YOUTUBE kisha nasach tom&jerry,,hapo ntacheka mpaka Mb ziishe
Haya nanyinyi toeni mbinu zenu, tubadilishane I DEA
Sijapata kuona mtu anaeswali sala tano kila siku akawa na stress.
SubhannaAllah.
Wishful thinking.Wasingekuwa na stress wasingesali sala 5 kwa siku.
Wishful thinking.
Stress zitoke wapi kwa wacha Mungu.
Hawana matamanio ya kijinga. Swala inawakinga na kuwalinda.
Soma kijana uelewe kuwa stress inaletwa na mihemko ya kidunia.
Kumbe hobbies zinahusikaMi napenda kutembea alone, kutazama movie, and music.
Ni kwel swala tu yenyewe ikikamilishwa inavyotakikana stress unasikia kwa wenzako...Wishful thinking.
Stress zitoke wapi kwa wacha Mungu.
Hawana matamanio ya kijinga. Swala inawakinga na kuwalinda.
Soma kijana uelewe kuwa stress inaletwa na mihemko ya kidunia.