Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Napenda kutazama Vichekesho, kulala, kutembea karibu na Ziwa au Bahari (kubarizi), au naenda kusali kanisa ambalo liko mbali na ninapoishi!
 
Nikiwa na stress huwa zinaishia na upepo naendesha bike i mean pikipiki naenda mbali mida ya jioni nakaa mahali naangalia sunset then narudi home nikiwa free and happy!!
 
Mi nasoma love stories or listening to slow music.Or swimming.
 
Vp Wakuu
Leo tupeane mbinu ambazo tunatumia pindi tunapo kua na mawazo mengi ya MAISHA/MAPENZI

mimi binafsi ninapokua na stres huwa sijites
Naingia YOUTUBE kisha nasach tom&jerry,,hapo ntacheka mpaka Mb ziishe

Haya nanyinyi toeni mbinu zenu, tubadilishane I DEA

Kuangalia makatuni ni upuuzi tu....mtu mzima na akili timamu unaangalia katuni? Mi nashusha whiskey ama wine kisha nakwenda vitani kwa 10 X 8.
 
Huwa nafunga kichwa na tumbo. Kisha nazima taa na kutumia makenikia.

ahahahahahahhahahahaahah kwakweli kwa bara la Africa na jangwa la sahara i thnk watanzania tumechoka mno kiakili..yaan nimewaza had nikacheka nakuishia kusonya dah
 
Unaweza kufungua youtube ukaangalia speech za JPM, zinasaidia sana kuleta matumaini mapya🙂
 
haitattokea mimi niangalie katuni aic maana naonaga km sipo sawa kbss..ni km mzee wa miaka 80 aanze kurap lol

Na ndiyo maana inaitwa vikatuni ni kwa ajili ya watoto kwa sababu bado akili zao hazijatengemaa.
 
1. Natafta new pussy.
2. Nàangali Maisha Magic East. Full kucheka napokutana na vipind kama Mshamba, hapa kule, RHHOK, chuchil chow etc.
 
Vp Wakuu
Leo tupeane mbinu ambazo tunatumia pindi tunapo kua na mawazo mengi ya MAISHA/MAPENZI

mimi binafsi ninapokua na stres huwa sijites
Naingia YOUTUBE kisha nasach tom&jerry,,hapo ntacheka mpaka Mb ziishe

Haya nanyinyi toeni mbinu zenu, tubadilishane I DEA
demu wangu ndo suluhisho la stress zangu kama haypo siku hyo basi wadogo zang pia ni suluhisho
 
Back
Top Bottom