Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
Ukiitwa baby tu msongo wa mawazo unaondoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani we una hisi mi binaadamu?? Mi chui
Wewe nakufananisha na wale wanaowashangaa mashabiki Wa mpira Wa miguu eti wanaolipwa wachezaji kuumia waumie washabiki..
Mimi napenda sana Katuni, kuna Katuni za kids na za wote,sio kila Katuni ni za vitoto
Napaka baby care dearunapaka mafuta gani ray unatelezaje?
hahahaumesahau moja, kucheza game la nyoka katika nokia ya tochi
ila hiyo namba 8 🙁
We jamaaa kwa kucopy na kupaste hujambo..hii thread niliileta huku unairudia tena???Katika ulimwengu wa leo tunakabiliwa na stress za aina nyingi na zasababishwa na mapenzi na hali za kimaisha
Ila njia zifuatazo zinaweza kukusaidia mwanaJf. kwa namna moja au nyingine;
1.Pitia picha zako zako za zamani kidogo, Picha za tukio moja wapo lililokufurahisha au za mtu mwingine yeyote wa karibu yako
2.Fungua madirisha na kuruhusu mwanga na hewa kupita kwa kiasi kikubwa. Epuka kukaa sehemu yeny mwanga mdogo kwani hufanya hali yako ya uchovu au stress kuwa juu zaidi.
3. Imba huku unaoga! Sio lazima uw muimbaji mahiri bali chagua tu wimb wako unaoupenda, imba kwa namna yeyote huku ukiendelea kuoga
4. Epuka kubaki mpweke. Tafuta mtu yeyote uongee nae (hata mtoto mdo itakusaidia kupunguza mawazo au uchovu
5. Sikiliza muziki au mpigie simu rafi yako mliyepotezana muda mrefu.
6. Fanya Mazoezi (japo kwa dakika moja)
7.Badilisha Mazingira, Mfano kama unapita njia hiyohiyo moja kutoka kazini/shule, badilisha na upite nyingine.
8. Fanya utafiti wa kijinga kwa kuwaangalia wapita njia na kutoa kasoro zao kimavazi, muonekano w bila ya wao kujua.
9. Nenda Saluni kunyoa/kuosha/kusuka nywele zako.
10. Chukua kalamu na karatasi, anza kujifunza kuchora!
Kati ya hizi zaweza kukusaidia mwanaJf mwenzangu
Muwe na siku.njema
Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
umejuaje anateleza??unapaka mafuta gani ray unatelezaje?
loh ayaNapaka baby care dear
Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
Huwa unayapaka sehem gani mwilini mwako....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Napaka baby care dear
Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
Ohhooo......[emoji12] [emoji12]We jamaaa kwa kucopy na kupaste hujambo..hii thread niliileta huku unairudia tena???
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
kweli kabisa...najiepusha naeOhhooo......[emoji12] [emoji12]
Kaa mbali na hilo punga...[emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]