Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

kuna kuangalia movie za kukuburudisha, kupiga story na marafiki wa aina mbalimbali wanaosaidia kuondoa stress, kuspend mahali na familia vyote vinasaidia sana kwa upande wangu
 
....kama nipo free sina ratiba muhimu, natoka napanda bus la town nikifka nashuka napnda lingne hadi mwsho then napanda lingne, inshort kuzurula town kuna nipa nafuu sanaa...

nitaona watu..wenye furaha au wenye shida zaid yngu then i will feel better nd great *Gratitude!

NB: hii kwa dar its not applicable...hizo foleni na kugombania gari utapata stress thousands times[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom