Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

We jamaaa kwa kucopy na kupaste hujambo..hii thread niliileta huku unairudia tena???

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Nimecopy google na sijui kama umewahi kuileta huku

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
Mbona watu wanamshambulia mtoa mada ???

Mara mwingine kauliza mafuta unayapaka wapi ....

Mtoa mada ana nn kwan ???
 
Naitaj kufaamu dawa zinazotumika kutuliza Stress, na upatikanaji wake kwa ujumla hapa Tz..

Kama unaufahamu na mambo hyo please nifaamishe na mm,

Sent using Jamii Forums mobile app
Stress ni kitu ambacho hakiepukiki kutokana na changamoto za maisha tunazopitia. Lakini cha msingi ni namna ya ku manage hizo stress japokuwa kuna baadhi vya vyakula huwa vinayumika kupunguza stress sababu vinakufanya upumzike vizuri. Jaribu kutumia biringamya kwa wingi wakati wa kulala na itakupunguzia kwa kiwango flani na jaribu kufanya mazoezi na kunywa maji kwa wingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stress ni msongo wa mawazo, na mawazo yenyewe mengi yanakuwa negative,
mara nyingi stress inakuwa inasimamia ukucha ukikaa pekeyako sana!!
ushauri mwepesi!
mosi,, badilisha mawazo yako.. yani nikimaanisha think positive, kwa janga lolote wewe lione kama ndio sehemu yako ya kulifanikisha positively
pili,, jichanganye na marafiki zako wa karibu, hasa wale wacheshi na waongeaji sana! wanasaidia ku cool mawazo yako

mbali na hapo.. tunaweza kusema stress dawa yake kubwa na kubadili mentality.. ukishindwa hapo buya vidonge vya usingizi kuutuliza ubongo na akili
 
Katika ulimwengu huu hasa maisha ya kibongo hali ya kuwaza na kuwazua ni kama haikwepeki vile maana mambo mbalimbali yanakua na muingiliano.

Muingiliano huu kuna muda unakua na athari mpaka mambo yanashindwa kwenda, mfano mtu anaesoma anaweza kupata msongo mpaka kusoma kukawa kugumu, Je wewe uwapo na Stress nini huwa unafanya ili mambo yaende, Tusaidiane jamani
 
Back
Top Bottom