Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Mi napenda kutembea alone, kutazama movie, and music.
Unajipa stress zaidi...unatembea alone umekuwa chui? Nitafute tupotezeane stress.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi napenda kutembea alone, kutazama movie, and music.
Unaweza kufungua youtube ukaangalia speech za JPM, zinasaidia sana kuleta matumaini mapya🙂
Kwani we una hisi mi binaadamu?? Mi chuiUnajipa stress zaidi...unatembea alone umekuwa chui? Nitafute tupotezeane stress.
Ni kweli mkuu,watu wanaosali na kumtegemea Mungu huwa hawapati stress .Sijapata kuona mtu anaeswali sala tano kila siku akawa na stress.
SubhannaAllah.
Wewe nakufananisha na wale wanaowashangaa mashabiki Wa mpira Wa miguu eti wanaolipwa wachezaji kuumia waumie washabiki..Na ndiyo maana inaitwa vikatuni ni kwa ajili ya watoto kwa sababu bado akili zao hazijatengemaa.
Ile ni amunation mkuuNa ndiyo maana inaitwa vikatuni ni kwa ajili ya watoto kwa sababu bado akili zao hazijatengemaa.
Ahahaha pongezi mkuusema Avatar yako tu me huwa stress zote kwisha
Stress ni pale unapovamia uzi halafu hujui unamaanisha nini....( Hahahahaha nakutania mkuu)Stress ndio nini?
Shukrani sana ndugunimekupata vzr sana Mkuu
Next time nialike kwenye matembezi nikupe kampani..Mi napenda kutembea alone, kutazama movie, and music.
Epuka kuwa na vyeti feki. Simamia ukweli tu, hautapata musongo wa mawazo.
Kumbe nyinyi ndio wale wa kuimba 'kwa Yesu tambarare'...Dawa ni kuokoka tusidanganyane at least unakuwa na hope na amani sasa ukiangalia movie ikiisha unarud palepale halikadhalika music..kama mkristo au mwislamu dawa n kuomba Mungu utapata Amani sana hizo nyingine ni vi_sub ant stress tu hakuna amani kuu kama ya Mungu..kuomba kwa sana