MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Nasoma sana vitabu vipya...nasikiriza mahubiri, nakula sana vyakula vitamu ninavyo vipenda...nafanya ngono sana...
As same to meNapenda kuangalia movie nikishindwa nalewa sana..kwa kua sipendi kuonekana na hyo hali napenda kujitenga na watu,mda wote nachezea simu ata kama amna la maana.
Ndio ivyo mkuu naonaga kama watu watanionezea mawazo zaidi na mm hua sipendi sana kushare kinachonisumbua napenda nipambane nacho kimya kimya.Huwa napenda kujitenga then nikae mahali nipige bombadia yangu kimya kimya nikitoka hapo napata solutions ya matatizo yangu